and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
Okay.Ameoa na ana mtoto mmoja mkuu.
"He who finds a wife, finds a good thing"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay.Ameoa na ana mtoto mmoja mkuu.
"He who finds a wife, finds a good thing"
Kazi IendeleeNdio maana huwa nakubali elimu ya Ujerumani. Alafu kwenye sayansi naheshimu zaidi patent kuliko PhD ingawaje vyote vinapatikana kwa research. Kwenye social sciences naona ni vigumu kidogo kuona mchango kiurahisi
Wajinga kweli unsjipinda kuandika na assignment wanakupa marks ndogo Ili ionekane kuwa chuo ni kigumu na wao Wana akili, kumbe hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] UDSM mbna faculty zote lect ni wachoyo wa marks, sema vile chuo pendwa. Ndo watu wanakomaa kibishi
Huko wataka science pure, mambo ya micro biology, sijui moleculer biology gwini anayawezea wapi hayo mambo, sikuonea kwa bureCompared to Conass
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi unakumbuka hiyo PhD alipewa mwaka gani au unaropoka tu kwa chuki zako za kutumbuliwa vyeti feki??!!
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan UDSM hapan lect sjui wakoje yaan hata ujipinde sana marks ndogo, sasa UE kakupendelea sana tena hapo umemkosha B+„Wajinga kweli unsjipinda kuandika na assignment wanakupa marks ndogo Ili ionekane kuwa chuo ni kigumu na wao Wana akili, kumbe hamna kitu
FactsUwe unaelewa kwanza maana kila uzi unalalamika kuhusu graduates. Umeelewa nilichokuwa nazungumzia au kwa vile nawe ni graduate wa hii mifumo yetu mibovu umeamua tu kujibu?
Nimesema hivi, si lazima mtu afundishe chuo ndio aweze kupata PhD. Nje na hapo kuna nafasi za maana sana kwenye research institutes, laboratories, etc. Huwezi linganisha PhD ya mtu wa viwandani dhidi ya maprofesa wa SUA wanaomiliki baa na lodge.
Nitajie PhD kutoka chuo cha nchini iliyowahi kuwa na manufaa. Vyuo vyetu sio kama vya nje ambavyo vina mazingira wezeshi. Unakuta departments za makampuni zinakuwa na affiliation navyo, utasikia John Hopkins ina project na Novartis kwenye research flani ya insulin au anti age drugs. Au Boeing imepewa contract na DARPA kutengeneza prototype ya drone iliyobuniwa na wanafunzi wa MIT wakishirikiana na maprofesa wao, wakidhaminiwa na US Air Force. Tanzania hutokaa usikie Superdoll wameshirikiana na DIT, wala Chemicotex na MUHAS.
Mafundi wa chini ya mwembe wengi wanajua magari kuliko lecturers wa Automobile Engineering. Unabisha?
Mzee alikuwa kitu cheupe hakikatizi kwake[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe huyo sundi naye ni mjane wa taifa
Kamtesa sana real wife, uzuri wanawake wa kisukuma hawanaga noma wala wivuMzee alikuwa kitu cheupe hakikatizi kwake
[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi Kuna kipindi nilikuwa nasoma nisipate tu sup aisee, kikubwa cheti na kupambana kitaa mambo ya kujitia stress kupata A, wakati Sitaki kufundisha chuo ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan UDSM hapan lect sjui wakoje yaan hata ujipinde sana marks ndogo, sasa UE kakupendelea sana tena hapo umemkosha B+„
chuo pendwa tunakomaa kibishi acha ituue tyuuh lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo wengi wanafikia hatua hiyo, kusoma kuepuka sup bas, yaan UDSM bas tyuuh khaaah[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi Kuna kipindi nilikuwa nasoma nisipate tu sup aisee, kikubwa cheti na kupambana kitaa mambo ya kujitia stress kupata A, wakati Sitaki kufundisha chuo ni nini?
Nashukuru nilimaliza salama, jinsi nilivoteseka sipendi kabisa kwenda maeneo ya chuo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo wengi wanafikia hatua hiyo, kusoma kuepuka sup bas, yaan UDSM bas tyuuh khaaah
Kwangu Mimi Ardhi university na muhimbili ndo vyuo Bora Tanzania...UDISM zimejazana degree za chupi karibu kwa watabe Edward moringe
Ardhi ni hazina
Haaaahaaa!!!!Unachamba kasoro DERA tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan UD panasomesha watu number kichizi lol.Nashukuru nilimaliza salama, jinsi nilivoteseka sipendi kabisa kwenda maeneo ya chuo
Hukupita UD bas ndo hasira unamalizia hapa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]UDISM zimejazana degree za chupi karibu kwa watabe Edward moringe
Ardhi ni hazina
Ina Mana ikitokea umepata A unawaambia wakuwekee tu c Mana hautaki kufundisha chuo.[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi Kuna kipindi nilikuwa nasoma nisipate tu sup aisee, kikubwa cheti na kupambana kitaa mambo ya kujitia stress kupata A, wakati Sitaki kufundisha chuo ni nini?
Mie bado napapenda ingawa kidogo ningedisco Ile ya field ikaniokoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan UD panasomesha watu number kichizi lol.