Bro nimesoma Pale. Ni chuo change hadhi yake na kikubwa lakini sio Faculties zote academically ni bora kuliko vyuo vingine.
Nenda tu hata mashule ya secondary utakutana na walimu very Smart na wametoka vyuo local tu. Yaani wamewaacha mbali sana wenzao waliopita UDSM. Nenda kwenye Taasisi au mashirika ulinganishe mtu wa Mzumbe au Tumaini vs UDSM utashika Tama.
UDSM Faculty za Science tu ndio wanastahili heshima kubwa sana. Lakini hizi za Business Administration etc etc wajisifu tu kuwa walisoma chuo kikubwa. Hivyo tu yaani