Humu kuna Mafisadi , wala rushwa, vyeti feki, wafanyakazi Hewa, mikopo hewa, wezi ya mali za umma, wanafunzi hewa, wengine baba zao walitumbuliwa na Mwamba Magufuli. ndio wanamwita muuaji kawaua njaa , na bado mtakufa kweli kurudi tuliko toka watanzania hatuwezi tena Jeshi alitufumbua macho. fanyeni kazi kwa jasho wizi umepitwa na wakati. Neno la Mungu linasema mtakula kwa jasho. na asie fanya kazi asile Mwacheni Mwamba alale na wewe subili siku yako ya kufa kama Mwamba . hujui siku wala saa . ni ujinga kumuongelea hayati Magufuli wakati maisha na familia yako vinatekea kwa shida , njaa , na umasikini . pambana na hali yako , Jeshi , Mwamba kamaliza kazi kaacha Alama na wewe kama ni wema mwezi ni hakuwa mwema weka Alama tuone mema na Mazuri yako .huo ni ushamba. Mwamba Mtoto wa mjini kajenga barabara za juu na Ardhi kila kona ya nchi. wewe mtoto wa mjini umefanya nini? kwa taarifa magu mtoto wa Mjini kafanya jiji lipendeze. Mshamba anatukana. yeye ana PhD Mshamba anatukana hapo nani Mshamba kama sio wewe?