cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Kabisaa yaan.Ni ndoto ya kila mtu kusoma hicho chuo mtu, akienda chuo kingine huwa hana option ndio maana wengi huenda kusoma master's pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa yaan.Ni ndoto ya kila mtu kusoma hicho chuo mtu, akienda chuo kingine huwa hana option ndio maana wengi huenda kusoma master's pale
Duuuh asee polee zao.Masters
Si mchezo nikiwaona Hawa wanasiasa wanapata PhD huku wakiwa full time kazini na busy mara bungeni mara ziarani nashangaa sana Kuna rushwa somewhere aiseeDuuuh asee polee zao.
Asante kwa matusi lakini halifuti ukweli kuwa jamaa alikuwa mshamba, katili na muuaji. Wewe unayekula milo yote utaishi milele, amen
Mwamba gani anakufa kizembe hivyo, poleni sukuma gangHumu kuna Mafisadi , wala rushwa, vyeti feki, wafanyakazi Hewa, mikopo hewa, wezi ya mali za umma, wanafunzi hewa, wengine baba zao walitumbuliwa na Mwamba Magufuli. ndio wanamwita muuaji kawaua njaa , na bado mtakufa kweli kurudi tuliko toka watanzania hatuwezi tena Jeshi alitufumbua macho. fanyeni kazi kwa jasho wizi umepitwa na wakati. Neno la Mungu linasema mtakula kwa jasho. na asie fanya kazi asile Mwacheni Mwamba alale na wewe subili siku yako ya kufa kama Mwamba . hujui siku wala saa . ni ujinga kumuongelea hayati Magufuli wakati maisha na familia yako vinatekea kwa shida , njaa , na umasikini . pambana na hali yako , Jeshi , Mwamba kamaliza kazi kaacha Alama na wewe kama ni wema mwezi ni hakuwa mwema weka Alama tuone mema na Mazuri yako .huo ni ushamba. Mwamba Mtoto wa mjini kajenga barabara za juu na Ardhi kila kona ya nchi. wewe mtoto wa mjini umefanya nini? kwa taarifa magu mtoto wa Mjini kafanya jiji lipendeze. Mshamba anatukana. yeye ana PhD Mshamba anatukana hapo nani Mshamba kama sio wewe?
Niliomba nafasi vyuo vinne ili angalau nipate kimoja Mungu sio mwijaku nikapate vitatu nikakosa kimoja sasa nifanyaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongo, useme ulikosa nafas UD, km kweli hukutaka uliomba nafas ya nn? Kuwa born town sio sababu, wee wa born town ukakosa nafas UD, na wenzio wa huko lupiro ifakara wakapata nafas UD. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]