Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Mkuu, "Faculty of science" ndio ipi pale ?Bro nimesoma Pale. Ni chuo change hadhi yake na kikubwa lakini sio Faculties zote academically ni bora kuliko vyuo vingine.
Nenda tu hata mashule ya secondary utakutana na walimu very Smart na wametoka vyuo local tu. Yaani wamewaacha mbali sana wenzao waliopita UDSM. Nenda kwenye Taasisi au mashirika ulinganishe mtu wa Mzumbe au Tumaini vs UDSM utashika Tama.
UDSM Faculty za Science tu ndio wanastahili heshima kubwa sana. Lakini hizi za Business Administration etc etc wajisifu tu kuwa walisoma chuo kikubwa. Hivyo tu yaani
Maana kwa ufahamu wangu hicho ulichokitaja kilikuwepo hapo UDSM miaka ya 70 huko. (Ilikua faculty ya pili kuanzishwa mara baada ya faculty of law iliyokiasisi chuo).
Baadae hiyo faculty of science ilikuja kuizaa CoNAS, hatimaye CoET, CoICT, CoAF, MCHAS, IMS, SoAF, SoMG, n.k
Hii faculty of science unayoizungumzia wewe ni ipi haswa ?