UDSM hakuna vya bure

UDSM hakuna vya bure

Mie bado napapenda ingawa kidogo ningedisco Ile ya field ikaniokoa
UD ni chuo pendwa, kila mwanafunzi ana ndoto ya kupita hapa.
Tunavumilia tyuh ivo ivo, mahaba ni upofu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha kufananisha udsm na mambo ya kijinga.
Hahaaaa nacheka kwa dharau kubwa sasa hicho chuo kimetoa msaada gani wa maana hapa nchini km hata kugundua hata jambo la msaada kwetu wa tz hakuna. wasomi wa pale ni ovyo tu hawana lolote la maana kwenye jamii yetu.Wengi mnaishia kujisifu tu ila ni mmejaza ujinga vichawani ndo maana tenda nyingi kuanzia ujenzi hata mambo mengine wemejaa wageni nyie wa Udsm mna kazi gani sasa .Pia mkipewa hata muongoze sehemu lazima mtaharibu tu sijui mnasomea nn.
 
Kwa nini nidanganye coca [emoji3] mi born twn manzese dar hivyo niliichoka nilitamani kuiona dunia nadhani hicho pia kilichangia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongo, useme ulikosa nafas UD, km kweli hukutaka uliomba nafas ya nn? Kuwa born town sio sababu, wee wa born town ukakosa nafas UD, na wenzio wa huko lupiro ifakara wakapata nafas UD. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ina Mana ikitokea umepata A unawaambia wakuwekee tu c Mana hautaki kufundisha chuo.
Kubali tu ukweli kuwa uwezo haukuweza kufika.
Mie chuo kumenikataa kiukweli darasa langu mie ndiye niliyekuwa bingwa wa kupata sapu nyingi na kuzitoa kwa mkupuo. Napata sapu sita natoa zote afu unakuta mtu anazo mbili na zote zipo ndani ya za kwangu Ila anashindwa kuzitoa.
Huku shuleni nilitokaga na wani pote o and a level Ila huko nimetoka na gentleman.
Sasa hapo mie ni kilaza ama ni nani
Sio uwezo mdogo nilipata upper second class, bachelor na Masters kiukweli Mimi huwa siji stress na maisha kiasi nikose Raha, na first year nilipata supplementary mbili first semester vile nilikuwa mgeni wa mambo aisee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongo, useme ulikosa nafas UD, km kweli hukutaka uliomba nafas ya nn? Kuwa born town sio sababu, wee wa born town ukakosa nafas UD, na wenzio wa huko lupiro ifakara wakapata nafas UD. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]wa lupiro tukapata nafasi za udsm
 
UD ni chuo pendwa, kila mwanafunzi ana ndoto ya kupita hapa.
Tunavumilia tyuh ivo ivo, mahaba ni upofu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna asiyependa udsm bwana tuwe wakweli
 
Sio uwezo mdogo nilipata upper second class, bachelor na Masters kiukweli Mimi huwa siji stress na maisha kiasi nikose Raha, na first year nilipata supplementary mbili first semester vile nilikuwa mgeni wa mambo aisee
Okay mie ni gentleman first class
 
Hamna asiyependa udsm bwana tuwe wakweli
Nimekumbka advance kila mwanafunzi anazungumzia UD, wale wa PCB ndo walikua wanawazia Muhas na Bugando. [emoji23][emoji23][emoji23]

UD chuo pendwa hakna ubishi.
 
Nimekumbka advance kila mwanafunzi anazungumzia UD, wale wa PCB ndo walikua wanawazia Muhas na Bugando. [emoji23][emoji23][emoji23]

UD chuo pendwa hakna ubishi.
Ni ndoto ya kila mtu kusoma hicho chuo mtu, akienda chuo kingine huwa hana option ndio maana wengi huenda kusoma master's pale
 
Yaani wewe nicheke tu ,najua haupendi stress Wala bugudha.
Nishakuambia unicheki pm Ila wanipotezea sana
Yani kweli sipendi stress maisha yenyewe mafupi why vitu vya kijinga vinitese aisee[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom