Habari wadau
Ninajiuliza why chuo kikuu chenye wasomi wengi.. cream of the nation kinashindwa kutatua tatizo la maji hata kwa matumizi yao tu ya chuo kikuu
Udsm wanategemea dawasco.. yaani dawasco wakikosa maji.. na chuo kikuu nacho kinateseka sawa sawa na mitaa yetu ambayo imejaa la 7b graduates
Ma engineer na wataalamu waliojaa pale hawawezi kusimamia uchimbaji hata visima kwenye eneo la chuo.. na kubuni mashine za ku treat water na kisha kupata maji safi na salama ambayo yatatumika na udsm community.
Yaani mwanafunzi wa udsm anaekaa main campus hostel ama magufuli hostel analia maji shida.. proffessor nae anaekaa kota hapo hapo udsm nae analia maji shida.
Hawa wasomi wa maji kazi yao ni nini sasa kama matatizo hawayatatui hata ya mwajiri wao tu