Jamaa mpaka kufikia kutoa ile kauli, utaona kabisa pale hapako sawa! kuna mambo yanaendelea chini kwa chini, ambayo hayana afya kwa taasis kubwa kama ileMhusika mnojawapo alipaita 'jalalani'! Inabidi kuitafakari kauli hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa mpaka kufikia kutoa ile kauli, utaona kabisa pale hapako sawa! kuna mambo yanaendelea chini kwa chini, ambayo hayana afya kwa taasis kubwa kama ileMhusika mnojawapo alipaita 'jalalani'! Inabidi kuitafakari kauli hii.
Unashangaa leo. Nenda Arusha sasa uone vijana wanavyotunza vyanzo vya maji hamna kabisa shida ya majiJalalani
Marasta wa Arusha wana huo muda!Unashangaa leo. Nenda Arusha sasa uone vijana wanavyotunza vyanzo vya maji hamna kabisa shida ya maji
Supporting Staff Udsm wanapakimbia Kwa speed ya mwanga,ila ndo wameanza kuzuia maana patapukutikaHapo kuna shida sana!
Pia nasikia watumishi ( supporting staff) wanaomba kuhama, japo udsm wanatumia nguvu kuzuia uhamisho!
Nadhani watumishi wanashindwa kuwa creative sabab ya mazingira magumu ya kufanya kazi! wameamua liende tu.
Taasis kubwa kama UDSM ilipaswa kuwa mfano mzuri kwa taasis nyingine sababu ndio chimbuko la wataalamu wengi katika nchi yetu.
Hili jambo nimelisikia, nikabaki nashangaa, inakuwaje Taasis kubwa ivi inakimbiwa na watumishi? Ni aibu kubwa sana kwa Uongozi wa Chuo.Supporting Staff Udsm wanapakimbia Kwa speed ya mwanga,ila ndo wameanza kuzuia maana patapukutika