UDSM kuteseka na mgao wa maji ni aibu kwa Maprofesa na wasomi waliojaa UDSM

Mhusika mnojawapo alipaita 'jalalani'! Inabidi kuitafakari kauli hii.
Jamaa mpaka kufikia kutoa ile kauli, utaona kabisa pale hapako sawa! kuna mambo yanaendelea chini kwa chini, ambayo hayana afya kwa taasis kubwa kama ile
 
Alafu kwa aina hii ya maprofesa ndio tunategemea wazalishe viongozi wanao wajibika.
Dah Africa hatuishi maajabu.
 
Yani bora GT mrangi licha ya degree zake za kutosha yuko huko chaka anachakarika na dhahabu
 
Wasomi wanaingia madarasani wananuka vikwapa.
 
Kwani maprofesser na wasomi wa udsm ndio wanakusanya mapato na kupangia matumizi?
 
Supporting Staff Udsm wanapakimbia Kwa speed ya mwanga,ila ndo wameanza kuzuia maana patapukutika
 
Supporting Staff Udsm wanapakimbia Kwa speed ya mwanga,ila ndo wameanza kuzuia maana patapukutika
Hili jambo nimelisikia, nikabaki nashangaa, inakuwaje Taasis kubwa ivi inakimbiwa na watumishi? Ni aibu kubwa sana kwa Uongozi wa Chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…