UDSM kuwekeza kwenye Kumbi za Mikutano na Flemu Mlimani City kuna tija ya Msingi?

UDSM kuwekeza kwenye Kumbi za Mikutano na Flemu Mlimani City kuna tija ya Msingi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
UDSM kuwekeza kwenye kumbi za mikutano na frame Mlimani City kuna tija ya msingi?

Nawasilisha kama Swali

Ahsanteni sana 😄
 
Elimu imewashinda....wanafunzi wanagraduate wanakosa kazi ni Bora kama wameona majengo na maeneo yote ya UDSM yawe ya kukodi kwa wafanyabiashara chuo kikubwa kibaki UDOM mapato yatumike kufidia ada zetu tulizopoteza bure kwa kupewa useless Degrees na Diploma's...nikiongea kwa niaba ya maelfu wa vijana waliomajob less since 2015 ! Mlimani is now way better kama eneo la biashara kuliko eneo la Elimu, kifutwe.
 
Iko hivi chuo huwa na vitengo mbalimbali (colleges & departments) ambavyo kila kitengo huwa kina makusanyo na vyanzo vyake vya uchumi
 
Hawana strategic planners wange wekenza kuendena na Academic research, dawa technology IT AI nk lakini kwasababu akili zao sio tofauti sana nazawafanya biashara wa k koo wadarasa la saba waliwaiga tu.
Wametumia research,kwakua pale ubungo panafunguliwa Ile EAL wao wameona waje na Fremu ,msiwalamu sana ndio wasomi wenu
 
Back
Top Bottom