UDSM kuwekeza kwenye Kumbi za Mikutano na Flemu Mlimani City kuna tija ya Msingi?

UDSM kuwekeza kwenye Kumbi za Mikutano na Flemu Mlimani City kuna tija ya Msingi?

Mkuu Fremu zinalipa
Zinalipa lakini kwa taasisi za elimu na jeshi la ulinzi hazifai kufanya uwekezaji ambao hata raia asiyesoma anaweza kufanya hivyo. Yani pale lugalo mwendo wa fremu tu. Hebu waongeze juhudi kuboresha zile gari zao ziache kuwa na sura mbaya hivi zinaitwaje vile?
 
Elimu imewashinda....wanafunzi wanagraduate wanakosa kazi ni Bora kama wameona majengo na maeneo yote ya UDSM yawe ya kukodi kwa wafanyabiashara chuo kikubwa kibaki UDOM mapato yatumike kufidia ada zetu tulizopoteza bure kwa kupewa useless Degrees na Diploma's...nikiongea kwa niaba ya maelfu wa vijana waliomajob less since 2015 ! Mlimani is now way better kama eneo la biashara kuliko eneo la Elimu, kifutwe.
bila shaka ulisomea ualimu,
 
Wametumia research,kwakua pale ubungo panafunguliwa Ile EAL wao wameona waje na Fremu ,msiwalamu sana ndio wasomi wenu
Ni wasomi uchwara wanashindwa na kuja hata na product moja ya dawa sokoni zaidi ya miaka 50, akili zao ni guest frame ukumbi parking yard nk, elimu yetu kwa kweli ibadilishwe iwe competent based na creativity hawana jipya vichwani mwao.
 
Hawana strategic planners wange wekenza kuendena na Academic research, dawa technology IT AI nk lakini kwasababu akili zao sio tofauti sana nazawafanya biashara wa k koo wadarasa la saba waliwaiga tu.
Makamu mkuu wa chuo,Sambo
 
Ni wasomi uchwara wanashindwa na kuja hata na product moja ya dawa sokoni zaidi ya miaka 50, akili zao ni guest frame ukumbi parking yard nk, elimu yetu kwa kweli ibadilishwe iwe competent based na creativity hawana jipya vichwani mwao.
Hahahaha,Sasa wenzio hapa ndio wamekaaa wakajadili wakaja na hilo wazo

Watanzania mawazo Yao siku zote ni Yale Yale ya kuigana hkn ubunifu wowote
 
Ndio tena sana income generation ni matakwa Serikali haina uwezo wa kulea kila taasisi kwa usawa hasa rasilimali fedha ni changamoto kubwa kwenye taasisi za umma zilizo nyingi
 
Elimu imewashinda....wanafunzi wanagraduate wanakosa kazi ni Bora kama wameona majengo na maeneo yote ya UDSM yawe ya kukodi kwa wafanyabiashara chuo kikubwa kibaki UDOM mapato yatumike kufidia ada zetu tulizopoteza bure kwa kupewa useless Degrees na Diploma's...nikiongea kwa niaba ya maelfu wa vijana waliomajob less since 2015 ! Mlimani is now way better kama eneo la biashara kuliko eneo la Elimu, kifutwe.
Duuu hiyo useless degree yako umeipata UDOM au UDSM?
 
Malengo ya UDSM hajawahi kua profit motivated hizo ni conflict of interest kila tasisi ikianza biashara malengo ya tasisi yatapotea kabisa
Ni kweli wataelekeza nguvu zote kukamatana na kunyoosheana vidole wmatiana hasara huku wanachuo wanakosa dose
 
Ndio tena sana income generation ni matakwa Serikali haina uwezo wa kulea kila taasisi kwa usawa hasa rasilimali fedha ni changamoto kubwa kwenye taasisi za umma zilizo nyingi
Serikali inazembea tu
Vyanzo vya mapato viko vingi kama serikali itavisimamia vizuri, ola kwakuwa fedha zinaishia mifukoni mwa wahuni wachache matokeo yake ndiyo hayo
 
Duuu hiyo useless degree yako umeipata UDOM au UDSM?
Ni moja ya degree mpya zilizoanzishwa UDSM, miaka ya 2010's. Just imagine unasoma degree ambayo intended industry, hawatambui kama hata ina exist! hivyo hata mifumo yao ya ajira, haiko considered, mwisho wa siku unakua entrepreneur, ni bora tungeenda short course za amazon College on entrepreneurship, leo hii ungekuta tunapanga Mlimani City Mall na kuajiri fellow brainwashed jobless from UDSM kama Sales executives.
 
Back
Top Bottom