UDSM kuwekeza kwenye Kumbi za Mikutano na Flemu Mlimani City kuna tija ya Msingi?

UDSM kuwekeza kwenye Kumbi za Mikutano na Flemu Mlimani City kuna tija ya Msingi?

Ni moja ya degree mpya zilizoanzishwa UDSM, miaka ya 2010's. Just imagine unasoma degree ambayo intended industry, hawatambui kama hata ina exist! hivyo hata mifumo yao ya ajira, haiko considered, mwisho wa siku unakua entrepreneur, ni bora tungeenda short course za amazon College on entrepreneurship, leo hii ungekuta tunapanga Mlimani City Mall na kuajiri fellow brainwashed jobless from UDSM kama Sales executives.
Ilikuwaje ukasomea kitu ambacho hukijui?
 
Nimoja ya vyanzo
Vyuo vikuu vya umma, vinatakiwa kuwa na miradi ya kuijingzia kipato cha zida, hiyo ni Moja wapo ya miradi endelevu, mingine ni ushauri elekezi (consulting services) e.t.c government funding always haitoshi
 
UDSM kuwekeza kwenye kumbi za mikutano na frame Mlimani City kuna tija ya msingi?

Nawasilisha kama Swali

Ahsanteni sana 😄
Inaitwa "Framenomics" hii ndiyo imekuwa bishara pendwa ya watanzia wa kada zote, wasomi wa PhD na wasiosoma, wakulima kwa wafanyakazi, maprofesa wa vyuo vikuu kwa walimu wa vidudu na hata makanisa na misikiti.

Si ajabu hata hata maeneo kama haya nayo tayari wana frame ili kuchanganyikiwa uchumi wa fremu
1. Msimbazi Centre
2. Magomeni Usharika KKKT
3. Magomeni Msikiti wa Kichangani
4. Lugalo Military base
5. Navy Kigamboni
6. Chuo cha Uhasibu Arusha

Inaonekana uchumi wa frame ndiyo ujuzi pekee ambao watanzania wanaupata na kuuelewa sana wanapotoka vyuoni
 
Kuna Estate ni dpt ya Chuo, na Kuna miradi ya departments (consulting, research etc)
Hicho ndio nilikuwa namaanisha hivyo bila shaka hizo fremu zitakuwa ni mradi wa UDSM Estate na sio departments
 
Elimu imewashinda....wanafunzi wanagraduate wanakosa kazi ni Bora kama wameona majengo na maeneo yote ya UDSM yawe ya kukodi kwa wafanyabiashara chuo kikubwa kibaki UDOM mapato yatumike kufidia ada zetu tulizopoteza bure kwa kupewa useless Degrees na Diploma's...nikiongea kwa niaba ya maelfu wa vijana waliomajob less since 2015 ! Mlimani is now way better kama eneo la biashara kuliko eneo la Elimu, kifutwe.
Hatari sana.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Tuko kwenye uchumi wa maframe

Ova

Taifa zima watu wamekuwa wachuuzi wa bidhaa za wachina na wahindi.

Hakuna production mentality, Wanasiasa wanaopaswa kutoa miongozo na kusimika misingi wako busy na akina Doto Magari na sherehe zisizoisha wakigawana keki ya Taifa na kuwaza namna ya kuendelea kutawala.
 
Ukizingatia gharama za mradi zote ametoa muwekezaji tija ipo Sana tu....
 
Back
Top Bottom