Mwenyewe brooWaafrika sisi ni kama ngozi ya pumbu hata uipige pasi vipi hainyooki....
Hiyo ndo ilivyo we kataa ukubali ndo hivyo...Mwenyewe broo
Haya mambo kwa UDSM labda miaka yenu hii ya tozoNina mdogo wangu yuko UDSM analalamika jinsi kila mwaka wanavyopata usumbufu wa kujisajili katika kozi zao na kusubiria matokeo.
Anasema mpaka leo matokeo ya mwisho wa mwaka hayajatoka mpaka sasa.
Kwa nini kama hilo limewashinda mpaka leo, msiombe msaada kutoka vyuo rafiki vya nje ya nchi.
Inaonyesha watu mlio nao hawana weledi wa kazi muhimu kama hiyo na pia mifumo yenu ikiwemo servers hazina nguvu ya kutosha.
Mnashindwa hata na Jamii Forums.
Mwenyewe tena bloanguHiyo ndo ilivyo we kataa ukubali ndo hivyo...