UDSM, mifumo yenu ya utoaji wa matokeo ni mibovu

UDSM, mifumo yenu ya utoaji wa matokeo ni mibovu

SAYVILLE

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
7,895
Reaction score
12,975
Nina mdogo wangu yuko UDSM analalamika jinsi kila mwaka wanavyopata usumbufu wa kujisajili katika kozi zao na kusubiria matokeo.

Anasema mpaka leo matokeo ya mwisho wa mwaka hayajatoka mpaka sasa.

Kwa nini kama hilo limewashinda mpaka leo, msiombe msaada kutoka vyuo rafiki vya nje ya nchi?

Inaonyesha watu mlio nao hawana weledi wa kazi muhimu kama hiyo na pia mifumo yenu ikiwemo servers hazina nguvu ya kutosha.

Mnashindwa hata na Jamii Forums!
 
Waafrika sisi ni kama ngozi ya pumbu hata uipige pasi vipi hainyooki....
 
Mifumo mingi ya taasisi za umma na serikali inazidiwa sana. Sijui shida ni wataalamu au vifaa vyao
 
UDSM zamani kuanzia kwa Prof Luhanga kurudi nyuma siyo miaka hii, pale UKABILA umekita mizizi na ndio chanzo cha matatizo yote hata kenge anaweza kuajiriwa tu pale na hata akafundisha ilimradi tu ajitambulishe tu yeye ni kabila fulani.Inafikia muda Mimi binafsi naona aibu kujitambulisha kuwa nimesoma pale,yanayoendelea ni aibu
 
Nina mdogo wangu yuko UDSM analalamika jinsi kila mwaka wanavyopata usumbufu wa kujisajili katika kozi zao na kusubiria matokeo.

Anasema mpaka leo matokeo ya mwisho wa mwaka hayajatoka mpaka sasa.

Kwa nini kama hilo limewashinda mpaka leo, msiombe msaada kutoka vyuo rafiki vya nje ya nchi.

Inaonyesha watu mlio nao hawana weledi wa kazi muhimu kama hiyo na pia mifumo yenu ikiwemo servers hazina nguvu ya kutosha.

Mnashindwa hata na Jamii Forums.
Haya mambo kwa UDSM labda miaka yenu hii ya tozo
 
Back
Top Bottom