SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Nina mdogo wangu yuko UDSM analalamika jinsi kila mwaka wanavyopata usumbufu wa kujisajili katika kozi zao na kusubiria matokeo.
Anasema mpaka leo matokeo ya mwisho wa mwaka hayajatoka mpaka sasa.
Kwa nini kama hilo limewashinda mpaka leo, msiombe msaada kutoka vyuo rafiki vya nje ya nchi?
Inaonyesha watu mlio nao hawana weledi wa kazi muhimu kama hiyo na pia mifumo yenu ikiwemo servers hazina nguvu ya kutosha.
Mnashindwa hata na Jamii Forums!