Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
DIT siyo University. Iko kwenye ligi tofauti ya vyuo vya elimu ya katiSisi wa DIT tupo orodha gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DIT siyo University. Iko kwenye ligi tofauti ya vyuo vya elimu ya katiSisi wa DIT tupo orodha gani?
Mkuu sikubaliani na ww baadhi, ila inawezekana ukawa sahihi pia, hasa hapo kutotumia chanzo kimoja cha ranks. Watu wanachotaga reference moja tu nakuja kutubandikia humu wanasahau kwamba hizo ranking ubadilika kila mwaka.Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo husika katika suala zima la maendeleo na vyanzo vikuu nane vinavyo toa orodha ya vyuo bora katika nchi mbali mbali na duniani kwa ujumla, ambavyo vyanzo hivyo ni www.webometric.com, www.TimesHigherEducation.com, www.AcademicRankingofWorldUniversities.com, www.Quacquarellisymonds.com, www.EduRank.com, www.ShanghaiRankingConsultancy, www.UniversityGru.com bila kuisahau TCU.
Kwasasa hapa Tanzania vyuo vifuatavyo ndivyo vyuo kumi bora
1. University of Dar es salaam(UDSM)- Acceptance 75%
View attachment 2278312
2. Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS)- Acceptance 68%
View attachment 2278314
3. University of Dodoma (UDOM)- Acceptance 65%
View attachment 2278303
4. Sokoine University of Agriculture(SUA) - Acceptance 63%
View attachment 2278304
5. Ardhi University- Acceptance 58%
View attachment 2278321
6. Mzumbe University- Acceptance 48%
View attachment 2278306
7. Nelson Mandela African Institution of Science and Technology- Acceptance 48%
View attachment 2278307
8. State University of Zanzibar-Acceptance 41%
View attachment 2278308
9. Hubert Kairuki Memorial University-Acceptance 36%
View attachment 2278315
10.ST Joseph University of Tanzania- Acceptance 33%
View attachment 2278310
N.B
Katika kufanya upembuzi wangu huu, sijatumia chanzo kimoja ili kupata ranking hii, hapa nimetumia vyanzo nane vinavyojihusisha na ranking za vyuo vikuu kama nilivyozitaja huko juu.
Wanafunzi na wazazi hivi ndivyo vyuo vikuu vya hapa Tanzania ambavyo mwanafunzi/mtu anaweza kusoma na kutambulika ndani na nje ya nchi kirahisi.
Imeandikwa na Annunaki.
Mkuu na ww si ufanye kautafiti kako uone kama kitaingiaKama hakuna Mbeya university of science and Technology(MUST) ujue list yako haija kamilika
Ndiyo sisi.wa kati nimejisemea mkuu, tunasubiri.rank zetu.Bwana Myangu VETA siyo vyuo vya elimu ya juu, hivyo ni vyuo vya elimu ya Kati.
Kwa nn aondoe MzumbeNawapa Namba 1& 2 Ardhi na SUA. Ondoa Mzumbe kabisa. MUHAS wapo strict ila product zao shida, kadharika UDSM
[emoji23]KILE CHUO KIKUU CHA KILIMO PALE MOROGORO WANAJIONA WAKO VIZURI ILA KUMBE NAFASI YA NNE?
UKIWA NAO WANAFUNZI WANAONA WANASOMA VITU VIGUMU KUMBE NI HIVIHIVI TU,NA WAALIMU WAO VILE VILE WANADHANI WANA CHUO BORA KULIKO VYOTE TANZANIA.
SUA BANA KWA KUJITAPA WAKO NJEMA.
Hatari [emoji16]Vyuo Bora [emoji848]
Tena huko Veta ndo kuzuri kuliko hata huku juuVeta Pipoooo mupo
Rank hizo ni Kama rank za matajiri, hubadilika kila mwaka. ndioMkuu sikubaliani na ww baadhi, ila inawezekana ukawa sahihi pia, hasa hapo kutotumia chanzo kimoja cha ranks. Watu wanachotaga reference moja tu nakuja kutubandikia humu wanasahau kwamba hizo ranking ubadilika kila mwaka.
Niliposoma comment zako hapo juu nilihisi una akiliTena huko Veta ndo kuzuri kuliko hata huku juu
Nakubaliana na weweRank hizo ni Kama rank za matajiri, hubadilika kila mwaka. ndio
Kwa mwaka huu ipo hivyo
Ila pamoja na kubadilika huko usije kutegemea TEKU inaweza kuwa juu ya UDSM
Nenda ukasome sua mwez mmoja tu,,, uje urudie kucomment hiv [emoji23]KILE CHUO KIKUU CHA KILIMO PALE MOROGORO WANAJIONA WAKO VIZURI ILA KUMBE NAFASI YA NNE?
UKIWA NAO WANAFUNZI WANAONA WANASOMA VITU VIGUMU KUMBE NI HIVIHIVI TU,NA WAALIMU WAO VILE VILE WANADHANI WANA CHUO BORA KULIKO VYOTE TANZANIA.
SUA BANA KWA KUJITAPA WAKO NJEMA.
Shida nini kwani?, Veta kozi nyingi ni za kujiajiri.Niliposoma comment zako hapo juu nilihisi una akili
How can a Fool conduct this Research. To conduct a Research and leave aside Genius based University like SAUT Mwanza shows how a Researcher is somehow Mentally Retarded.Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo husika katika suala zima la maendeleo na vyanzo vikuu nane vinavyo toa orodha ya vyuo bora katika nchi mbali mbali na duniani kwa ujumla, ambavyo vyanzo hivyo ni www.webometric.com, www.TimesHigherEducation.com, www.AcademicRankingofWorldUniversities.com, www.Quacquarellisymonds.com, www.EduRank.com, www.ShanghaiRankingConsultancy, www.UniversityGru.com bila kuisahau TCU.
Kwasasa hapa Tanzania vyuo vifuatavyo ndivyo vyuo kumi bora
1. University of Dar es salaam(UDSM)- Acceptance 75%
View attachment 2278312
2. Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS)- Acceptance 68%
View attachment 2278314
3. University of Dodoma (UDOM)- Acceptance 65%
View attachment 2278303
4. Sokoine University of Agriculture(SUA) - Acceptance 63%
View attachment 2278304
5. Ardhi University- Acceptance 58%
View attachment 2278321
6. Mzumbe University- Acceptance 48%
View attachment 2278306
7. Nelson Mandela African Institution of Science and Technology- Acceptance 48%
View attachment 2278307
8. State University of Zanzibar-Acceptance 41%
View attachment 2278308
9. Hubert Kairuki Memorial University-Acceptance 36%
View attachment 2278315
10.ST Joseph University of Tanzania- Acceptance 33%
View attachment 2278310
N.B
Katika kufanya upembuzi wangu huu, sijatumia chanzo kimoja ili kupata ranking hii, hapa nimetumia vyanzo nane vinavyojihusisha na ranking za vyuo vikuu kama nilivyozitaja huko juu.
Wanafunzi na wazazi hivi ndivyo vyuo vikuu vya hapa Tanzania ambavyo mwanafunzi/mtu anaweza kusoma na kutambulika ndani na nje ya nchi kirahisi.
Imeandikwa na Annunaki.
Hauko serious. SAUT wanaingia wenye three wengi tofauti na UDSMHow can a Fool conduct this Research. To conduct a Research and leave aside Genius based University like SAUT Mwanza shows how a Researcher is somehow Mentally Retarded.
The table stands as follows....
1. SAUT Mwanza
2. Mzumbe University
3. Ruaha University
4. Open University of Tanzania
5. Mwenge University
6. Dodoma University
7. SUA
8. TEOFILO Kisanji University
9. St. John University
10. UDSM
Am done.....!!!!
Nonsensical.Hauko serious. SAUT wanaingia wenye three wengi tofauti na UDSM