Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo ni mawazo yake binafsi, angepaswa kutoa vigezo vyote vya utafiti wake huo mdogo na ni lazima viwe vinatmbalika kimataifa. Hata mimi kesho nawezo toka piga K-Vant nikata na utafiti wangu mdogo. Sasa St Joseph inaipikuje Mbeya University of Science and Technology (MUST)KILE CHUO KIKUU CHA KILIMO PALE MOROGORO WANAJIONA WAKO VIZURI ILA KUMBE NAFASI YA NNE?
UKIWA NAO WANAFUNZI WANAONA WANASOMA VITU VIGUMU KUMBE NI HIVIHIVI TU,NA WAALIMU WAO VILE VILE WANADHANI WANA CHUO BORA KULIKO VYOTE TANZANIA.
SUA BANA KWA KUJITAPA WAKO NJEMA.
Mambo ya mwanafunzi bora au chuo bora ni ya kizamani sana kwa sasa , what next after that?Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo husika katika suala zima la maendeleo na vyanzo vikuu nane vinavyo toa orodha ya vyuo bora katika nchi mbali mbali na duniani kwa ujumla, ambavyo vyanzo hivyo ni www.webometric.com, www.TimesHigherEducation.com, www.AcademicRankingofWorldUniversities.com, www.Quacquarellisymonds.com, www.EduRank.com, www.ShanghaiRankingConsultancy, www.UniversityGru.com bila kuisahau TCU.
Kwasasa hapa Tanzania vyuo vifuatavyo ndivyo vyuo kumi bora
1. University of Dar es salaam(UDSM)- Acceptance 75%
View attachment 2278312
2. Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS)- Acceptance 68%
View attachment 2278314
3. University of Dodoma (UDOM)- Acceptance 65%
View attachment 2278303
4. Sokoine University of Agriculture(SUA) - Acceptance 63%
View attachment 2278304
5. Ardhi University- Acceptance 58%
View attachment 2278321
6. Mzumbe University- Acceptance 48%
View attachment 2278306
7. Nelson Mandela African Institution of Science and Technology- Acceptance 48%
View attachment 2278307
8. State University of Zanzibar-Acceptance 41%
View attachment 2278308
9. Hubert Kairuki Memorial University-Acceptance 36%
View attachment 2278315
10.ST Joseph University of Tanzania- Acceptance 33%
View attachment 2278310
N.B
Katika kufanya upembuzi wangu huu, sijatumia chanzo kimoja ili kupata ranking hii, hapa nimetumia vyanzo nane vinavyojihusisha na ranking za vyuo vikuu kama nilivyozitaja huko juu.
Wanafunzi na wazazi hivi ndivyo vyuo vikuu vya hapa Tanzania ambavyo mwanafunzi/mtu anaweza kusoma na kutambulika ndani na nje ya nchi kirahisi.
Imeandikwa na Annunaki.
ulipata ngap make siku hizi hata three wanasomaBado UDSM ni chuo bora sana. Ni ndoto za watanzania karibu wote kusoma pale. Tena watu wengi waliokosa nafasi UDSM huwa wanaenda kusoma masters pale. Mimi sijasoma UDSM kwa sababu nilifeli form six.
Wabongo bhana instute na university vyote ni vyuo vikuu tu mnacomplicate kwa iyo MIT , DIT,IAA, TIA ,IFM sio vyuo vikuu?DIT siyo University. Iko kwenye ligi tofauti ya vyuo vya elimu ya kati
Izo list zao uwa ni magumashi hauwezi kushindanisha chuo cha uhasibu na cha technologyDIT hakiwezi kuwepo hata iweje
Dar es Salaam Institute of Technology kinatakiwa kishindanishwe na wenzie akina NIT, DMI, IAA, TIA, IFM, na KIT
Wengineo Institute of social studies, institute of planning
Umeona boss😀😀mashindano ya chuo hayana msaada wowote kwenye utafutaji wa pesa mtu bora utoka kwenye chuo chochoteTutafute hela, mashindano ya vyuo bora havikutibu wala kutatua shida zako
Ndiyo,wanatoa hadi degree.Sijajua kama wameanza kutoa masters.Kwani na ninyi ni chuo kikuu?.
Vipi kuhusu Theophil Kisanji kinashika namba ngapi katika list?Bwana Kisiju, sijakitaja kwa sababu hata kwenye references zote nilizotumia kilikuwa hakitokei.
Thanks for knowing that and I'm so proud of my SAUT Mwanza. Really We're building the City of God.Gentamicine unakipenda sana chuo chako cha SAUT-Mwanza,bila shaka kwasababu ulisoma hapo.
Kwani yule POPOMA wa SAUT naye ana maoni gani juu ya hizi takwimu zako?Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo husika katika suala zima la maendeleo na vyanzo vikuu nane vinavyo toa orodha ya vyuo bora katika nchi mbali mbali na duniani kwa ujumla, ambavyo vyanzo hivyo ni www.webometric.com, www.TimesHigherEducation.com, www.AcademicRankingofWorldUniversities.com, www.Quacquarellisymonds.com, www.EduRank.com, www.ShanghaiRankingConsultancy, www.UniversityGru.com bila kuisahau TCU.
Kwasasa hapa Tanzania vyuo vifuatavyo ndivyo vyuo kumi bora
1. University of Dar es salaam(UDSM)- Acceptance 75%
View attachment 2278312
2. Muhimbili University of Health and Allied Sciences(MUHAS)- Acceptance 68%
View attachment 2278314
3. University of Dodoma (UDOM)- Acceptance 65%
View attachment 2278303
4. Sokoine University of Agriculture(SUA) - Acceptance 63%
View attachment 2278304
5. Ardhi University- Acceptance 58%
View attachment 2278321
6. Mzumbe University- Acceptance 48%
View attachment 2278306
7. Nelson Mandela African Institution of Science and Technology- Acceptance 48%
View attachment 2278307
8. State University of Zanzibar-Acceptance 41%
View attachment 2278308
9. Hubert Kairuki Memorial University-Acceptance 36%
View attachment 2278315
10.ST Joseph University of Tanzania- Acceptance 33%
View attachment 2278310
N.B
Katika kufanya upembuzi wangu huu, sijatumia chanzo kimoja ili kupata ranking hii, hapa nimetumia vyanzo nane vinavyojihusisha na ranking za vyuo vikuu kama nilivyozitaja huko juu.
Wanafunzi na wazazi hivi ndivyo vyuo vikuu vya hapa Tanzania ambavyo mwanafunzi/mtu anaweza kusoma na kutambulika ndani na nje ya nchi kirahisi.
Imeandikwa na Annunaki.
Hawajui kitu hao watoto wadogo😀😀hawakijui vizuri MIT waingie tu ata Fb wakicheck vijana wa icho chuo wanavyotengeneza maroboti yaoNdiyo,wanatoa hadi degree.Sijajua kama wameanza kutoa masters.
Neno 'institute' lisikuingize chaka.Chuo namba Moja duniani kinaitwa MIT,T-for institute.
Kweli wewe GENTA sijui upata wapi ujasiri wa kuweka list yako nimecheka sana aisee!!, binafsi sikubaliani na hii list kwa vile hakuna chuo cha Buza hata kimoja lazima kuna uwakilini hapo.How can a Fool conduct this Research. To conduct a Research and leave aside Genius based University like SAUT Mwanza shows how a Researcher is somehow Mentally Retarded.
The table stands as follows....
1. SAUT Mwanza
2. Mzumbe University
3. Ruaha University
4. Open University of Tanzania
5. Mwenge University
6. Dodoma University
7. SUA
8. TEOFILO Kisanji University
9. St. John University
10. UDSM
Am done.....!!!!
Vyuo vinaposhuka ranks duniani, maana yake elimu yenu imeporomoka, kwahiyo inasaidia Kufanya reforms za elimu upya.Mambo ya mwanafunzi bora au chuo bora ni ya kizamani sana kwa sasa , what next after that?
Bwana Lihove2 hiki sizana hata kwenye top 20 kama kinaweza kuwepo.Vipi kuhusu Theophil Kisanji kinashika namba ngapi katika list?
Bwana papason na hapa Udom imeshuka, mwaka jana kilikuwa nafasi ya 2 kwa Tanzania nyuma ya Udsm, ili kuthibitisha hili unaweza ukafuatilia kwenye link za sources Mbali mbali nilizoweka pale juu.Kwanamba yoyote UDDM haiwezi kuipita mbeya na SAUT………,,
KashajibuKwani yule POPOMA wa SAUT naye ana maoni gani juu ya hizi takwimu zako?
Pamoja na mambo mengine, kitendo cha kuhamisha ma Dr na ma prof kutoka kwenye vyuo na kupangia kazi za kiutendaji kwenye mawizara na taasisi za Serikali kumeteteresha ubora wa vyuo vyetu.Wakati huo huo, udsm ni namba 31 kwa ubora barani Afrika. Tuendelee kujipigapiga kifua...