UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

 

Attachments

  • Screenshot_20220701-175448_Chrome.jpg
    73.7 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220701-175436_Chrome.jpg
    71.5 KB · Views: 21
  • Screenshot_20220701-175403_Chrome.jpg
    68.5 KB · Views: 22
  • Screenshot_20220701-175307_Chrome.jpg
    74.8 KB · Views: 23
  • Screenshot_20220701-175244_Chrome.jpg
    73.7 KB · Views: 20
  • Screenshot_20220701-175448_Chrome.jpg
    73.7 KB · Views: 18
Mkuu sikubaliani na ww baadhi, ila inawezekana ukawa sahihi pia, hasa hapo kutotumia chanzo kimoja cha ranks. Watu wanachotaga reference moja tu nakuja kutubandikia humu wanasahau kwamba hizo ranking ubadilika kila mwaka.
 
Mkuu sikubaliani na ww baadhi, ila inawezekana ukawa sahihi pia, hasa hapo kutotumia chanzo kimoja cha ranks. Watu wanachotaga reference moja tu nakuja kutubandikia humu wanasahau kwamba hizo ranking ubadilika kila mwaka.
Rank hizo ni Kama rank za matajiri, hubadilika kila mwaka. ndio
Kwa mwaka huu ipo hivyo
Ila pamoja na kubadilika huko usije kutegemea TEKU inaweza kuwa juu ya UDSM
 
Nenda ukasome sua mwez mmoja tu,,, uje urudie kucomment hiv [emoji23]
 
How can a Fool conduct this Research. To conduct a Research and leave aside Genius based University like SAUT Mwanza shows how a Researcher is somehow Mentally Retarded.

The table stands as follows....

1. SAUT Mwanza
2. Mzumbe University
3. Ruaha University
4. Open University of Tanzania
5. Mwenge University
6. Dodoma University
7. SUA
8. TEOFILO Kisanji University
9. St. John University
10. UDSM

Am done.....!!!!
 
Bado UDSM ni chuo bora sana. Ni ndoto za watanzania karibu wote kusoma pale. Tena watu wengi waliokosa nafasi UDSM huwa wanaenda kusoma masters pale. Mimi sijasoma UDSM kwa sababu nilifeli form six.
 
Hauko serious. SAUT wanaingia wenye three wengi tofauti na UDSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…