UDSM, MUHAS & UDOM Vinashika Nafasi Tatu za juu kwa Vyuo Vikuu Kumi Bora Tanzania

Bwana Ngalikihinja ni kweli watapinga ila kitu kimoja wanachotakiwa kujua ni kwamba pamoja na Udsm kushuka kwenye ranking za kimataifa, bado kwa hapa Tanzania kinashika namba moja hata kwenye references zote nilizotumia kimetokea kama chuo namba moja kwa hapa Tanzania.
Nieleweshe, unavyosema chuo namba moja unalinganisha katika nini?

Je course zitolewazo Udsm ni sawa na SUA, St Joseph, SAUT, Mzumbe na Vingine.?

Au Je? unawezaje ku rank vyuo vinavyotoa course tofauti kwenye kapu moja?
 
Nawapa Namba 1& 2 Ardhi na SUA. Ondoa Mzumbe kabisa. MUHAS wapo strict ila product zao shida, kadharika UDSM
Hukusoma UDSM nyie ambao mlisoma vyuo vya kata huwa mnakuwa na Hasira sana Mnaposikia UDSM. 😁
 
Hivi huyu GENTAMYCINE kutamba kote humu kumbe hicho Chuo chake SAUT hata kwenye Top Ten hakipo?
Nilipigwa BAN ya Wiki Moja kwa Kosa la Kumjibu huyu Matola mkisema kuwa Nimemdhalilisha baada ya Yeye Kuripoti Kwenu ila Yeye aliyeanza Kunichokoza teba kwa Makusudi na bado anaendelea kama hivi kwa Kuniita Punguwani mnamuacha kana kwamba hapa Hanidhalilishi na wala Hakidhalilishi Chuo Kikuu cha SAUT Mwanza.

Nimesharipoti sana tu Kwenu na hata Kuandika mno hapa Jamiiforums juu ya Watu ( hasa Kikundi ) cha Watu chenye mkakati Maalum wa Kunichokoza kwa Makusudi kikiwa kinajua kuwa sitovumilia Uchokozi wao na nitawajibu kisha haraka mno kinawahi Kuripoti ( Kuniripoti ) Kwenu nanyi haraka sana sijui ni kwa Chuki au kwa Sheria zenu mnawahi kunipa BAN.

Nikiandika hivi mnakimbilia kunijibu kuwa Nimbloku ( Ignore ) mbona na hawa akina Matola na Wenzake ( tena kwa kutumia Multiple ID's ) zao huwa hamuwaambii waachane na Mimi kama hawanipendi na hawapendi Uwasilishaji wangu?

Ina maana gani kusema ( kuniambia ) kuwa Nimbloku ( Ignore ) Mtu ( Member ) anayenichokoza na kunidhihaki Kutwa hapa Jamiiforums wakati bado kile alichokiandika Kinasomwa na Watu ( Members ) wengine?

Mimi nikidhihakiwa, nikichokozwa na Kudhalilishwa hivi mnafurahi na wala hamuwapi Adhabu Wahusika ila mnayenichukia na kuniona Kero Mioyoni mwenu GENTAMYCINE nikijibu tu Mapigo upesi mnanipiga BAN za Kunikomoa.

Najua kuwa mnachokitaka na naamini mnakifurahia zaidi ni kuona Mimi nikishambuliwa kwa kila aina ya Matusi, Dhihaka, Uchokozi na Udhalilishaji na Members mbalimbali hapa JamiiForums ili Kunishusha Thamani yangu ya Kiuwasilishaji kisha mnavizia niwajibu hawa Watu kwa namna yangu msiyoipenda na upesi mnakimbilia kunipiga BAN za Makusudi, za Chukizo na Kunikomoa ili muendelee Kuwaaminisha Watu ( Members ) kuwa Mimi ni Mtu Mkorofi na wa hovyo JamiiForums nzima.

Natukanwa, Nachokozwa, Nashambuliwa na Nadhihakiwa na Watu ( Members ) wale wale tu Kutwa ila mnawaacha ila nisiyependa Upuuzi, Upumbavu na Unafiki nikiwajibu tu kwa ninavyojua Mimi mnakimbilia kuniadhibu kwa BAN.

Utetezi wenu wa kila mara Kwangu ni kunitaka niwe Nawaripoti hawa Watu. Hivi nitakuwa tu na Kazi ya Kuwaripoti Kwenu hawa Watu? Ina maana nyie kama Moderators wa JamiiForums huwa hamuoni katika Mada ( Threads ) mbalimbali GENTAMYCINE ninavyofanyiwa? Kwahiyo Jukumu lenu Mama ni kuachia na kuruhudu nishambuliwe na nidhihakiwe mara kwa mara hapa JamiiForums na nyie mkimbilie kunipiga BAN za Chuki na Kunikomoa ila siyo Kuzuia Kikundi Maalum ( cha Kimkakati ) cha Kunichokoza, Kunitukana, Kunidhihaki na Kunidhalilisha kinachoongozwa na huyu Matola wenu?

Sijaumbwa na Roho ya Unafiki, Uwoga ( Kuogopa ) na kukaa na Kitu Moyoni hivyo nimeamua Kuwasilisha Kwenu Machungu niliyonayo kwa kile ninachokiona ni Unyanyasaji na Mkakati Maalum wa Kunikomoa kwa BAN zenu na muendelezo wa Kimakusudi Kuwaaminisha Watu kuwa GENTAMYCINE ni Mkorofi, hana Maadili na hana Akili ( Punguwani ) kama nilivyoitwa hapa.

Na kwa hili mmefanikiwa kwa 100% kwani hivi sasa imefikia hatua hadi Members Kubeti kuwa ID hii yangu ( GENTAMYCINE ) sitodumu muda mrefu nitapigwa BAN na kweli napigwa BAN. Mmeshawaanisha 90% ya JamiiForums Members kuwa BAN ya Jamiiforums ni Maalum kwa GENTAMYCINE na nahisi kuna baadhi yenu kwa Chuki Kubwa mliyonayo Juu yangu mnatamani hata kusikia NIMEKUFA Ili tu mpumzike Kuiona ID hii mnayoichukia na msiyoipenda daima hapa JamiiForums.

Asanteni.
 
Haya baada ya kutema povu lote hili, kwanza kunywa maji, halafu tujibu ni kwa nini Chuo cha SAUT hakipo hata kwenye Top Ten?
 
Back
Top Bottom