UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

D, teens are tricky, they can corner you easily, ni vizuri kujua kinaga ubaga cha tatizo kabla hujatoa mwongozo. Wenye watoto wanalijua hili. Ni wajibu na haki ya wanafunzi kugoma, hata mie nimeshagoma sana lakini pale tu kunapokuwepo na sababu ya kulazimu mgomo.
 
I love JF,

Watu wanamkonya nyani giledi hadi inapendeza!
 
ha ha haaa, DS ipo tayari
 
Hapana kozi hiyo ipo mimi ndugu zangu wanasoma hiyo kozi acha ubishi.
Hata hivyo IT yawezekana wengi tunakosea ama tunachukulia kitu kingeni

IT= Data manipulation na voice & data transportation
 
Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya
 
I love JF,

Watu wanamkonya nyani giledi hadi inapendeza!

Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya
 
Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya
Mimi naona kuwa umemfahamisha na sio kumkomesha..na kama kumkomesha umemkomesha kwa lipi? Zaidi hiyo kauli yako inaweza kukubana hata na wewe mwenyewe.
 
Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya
Mkuu ndege ya Lowassa,

Mamkwe ni jina la Kichagga nadhani tena la mwanaume.

Usimwite 'Mama Mkwe'.

Mac
 
Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya

jadilini mambo ya muhimu hapa jamani, acheni utoto, mnaharibu na kupotenza nguvu za JF sasa
 
Ha ha haaaaaaaaa, nimemkomesha, unajua too much speaking ina expose ignorance ya mtu. Namshauri mama mkwe atafute habari kama hana habari akae kimya

Mkuu ndege ya uchumi!

Nadhani JF ni kufahamishana zaidi ya kukomeshana na katika hili natumaini Mamkwe ameelewa kinachoendelea na kisha tunarudi kwenye kiini cha thread hii cha kuwasaidia wasomi wetu mlimani ili wasionewe na serikali ya ccm bila sababu yoyote ile.
 
At least unaweza kujirudi, hongera kwa hili
 
At least unaweza kujirudi, hongera kwa hili

Mhhh,

kwi kwi kwi yaani imebidi nicheke tu! Mwambie Mkandal(r)a (sijui kama nitumie R or L kwenye jina lake) aache kupiga vijana wasomi kwa mabomu maana anajiabisha sana yeye na rafiki yake Kikwete.
 
Mhhh,

kwi kwi kwi yaani imebidi nicheke tu! Mwambie Mkandal(r)a (sijui kama nitumie R or L kwenye jina lake) aache kupiga vijana wasomi kwa mabomu maana anajiabisha sana yeye na rafiki yake Kikwete.
Salamu zao zimefika 😀 Zaidi iwapo vijana wa Mlimani wapo kwa ajili ya kukomesha na kukomeshana badala ya kutafuta na kusimamia haki zao, basi salamu hizi hazitakuwa na maana yoyote...
 
Kuku anakwenda huku vifaranga vyake vikiwa ubavuni. Kuku huonekana kuwa na mawasiliano na vifaranga vyake. Mwewe akionekana, kuku atavihami vifaranga vyake. Lakini bata anatangulia mbele na kuacha vifaranga vyake vikimfuata nyuma, vifaranga havijui mama anakwenda wapi. Na mwewe akitokea, virafanga vya bata huchukuliwa kirahisi. Katika jamii tunayoishi kuna viongozi mfano wa kuku, na tunao bata pia.

Nimeiona kwa Mjengwa.
Nafikiri hata JF kuna wachangiaji Mfano wa bata na wengine Kuku
 
Salamu zao zimefika 😀 Zaidi iwapo vijana wa Mlimani wapo kwa ajili ya kukomesha na kukomeshana badala ya kutafuta na kusimamia haki zao, basi salamu hizi hazitakuwa na maana yoyote...

Lakini ukumbuke pia kuwa kusimamia haki ni pamoja na kukomesha uvunjivu wa haki. Kukomesha hapa kunaweza kutumika kwenye mengine kama - kukomesha uonevu wa polisi na uongozi wa chuo kikuu cha Dar es salaam dhidi ya wanafunzi wao!
 
Ant-Ufisadi

Nasikia mgomo wa mwaka huu Nkurumah haijaunguruma, wala hakuna solidariry. Naambiwa wanafunzi wameshindwa kujustify madai yao (nadhani this time walianza mgomo bila maandalizi ya kutosha).

Hapo kuna tatizo lingine linanukia ambalo litawaumiza sana ikitokea chuo kikafungwa. Mitihani mtaifanya sijui August bumu likiwa limekwisha, hapo ni kushindia uji, hamtakuwa na uwezo wa kugoma kwa vile bumu linakuwa controlled na Fisadi Mkono. Ukifail kwa ajili ya njaa (maana fedha zitaishia kwenye kulipia malazi guest house) hakuna kuappeal.

Nawashauri wanafunzi muache mgomo mrudi madarasani, mtachotakiwa kufanya ni kukiuka katiba ya DARUSO muahirishe uchaguzi, hapo mjipange upyaaa muwe na hoja bora sio bora hoja.
 
Kama hiki ndicho uongozi wa shule unabet on basi nchi imekwisha hiyo. Yaani wanaombea hali iwe ngumu kiasi hiki ili wanafunzi washindwe kudai haki yao?

Ni taifa gani hili wanajenga?

Pamoja na maneno yako kuwa mgomo hauna wafuasi, je kuna sababu ya kupiga wanafunzi kwa mabomu ambao hawagomi?
 
mh, kama hamna soilidarity wamekwisha kabisa bora waingie darasani.Kuna msemo mzuri wakati wananchi afrika kusini wanapinga ubaguzi wa rangi usemao "TOGETHER WE STAND DIVIDED WE FALL"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…