Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Anti Usiwe Na Mashaka Na Mimi Kama Huniamini Basi Njooni Hata Kumi Au Kundi La Watu Wengi Tutaongea Wote Kwa Pamoja Au Ingia Pale Mlimani City Halafu Uniambie Tutakuwa Tunaongea Huku Tunatembea Watu Wasijuie Kinachoendelea .
Usijaribu kuharibu thread hii kama ulivyojaribu kuharibu ile nyingine siku kina Mike wamekamatwa na polisi. Huna haya wewe? kazi yako kufurahia wenzako wakipatwa na matatizo. Watu wanalia kwa uchungu wa mabomu ya polisi na wewe unaleta bangi hapa!