UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

No usiseme location yake maana itakuwa ni kinyume na sheria za JF. Nuff with this snitch kwa sasa. Wanafunzi wengi wamepewa picha yake na wanamkimbia kama ugonjwa hatari wa ebola

KWAHIYO NIKIKAA KATIKA KUNDI LA WATU 2000 MTU ATAWEZA KUTAJA EEEH KWA HAKIKA YULE NI SHY KWELI BIOMETRICS BONGO INAFANYA KAZI TEHE TEHE

MWAFRIKA WA KIKE KESHO NITAKUWA PALE MLIMANI KUANZIA SAA 1 ASUBUHI WAAMBIE HAO WAANDAAJI WA MIGOMO NINA HAMU SANA KUONANA NAO NA NITAWARUSHA LIVE KUPITIA YOUTUBE BABAKE
 
KWAHIYO NIKIKAA KATIKA KUNDI LA WATU 2000 MTU ATAWEZA KUTAJA EEEH KWA HAKIKA YULE NI SHY KWELI BIOMETRICS BONGO INAFANYA KAZI TEHE TEHE

Wewe, inteligence unit ya JF ilianza kukufuatilia baada ya usaliti wako dhidi ya waendeshaji wa JF. Kwa sasa umewekwa kwenye microscope. Ukirudia kufanya ujinga kama ule utakomeshwa kabisaaaaa!

MWAFRIKA WA KIKE KESHO NITAKUWA PALE MLIMANI KUANZIA SAA 1 ASUBUHI WAAMBIE HAO WAANDAAJI WA MIGOMO NINA HAMU SANA KUONANA NAO NA NITAWARUSHA LIVE KUPITIA YOUTUBE BABAKE

kaa mbali kabisa na hao vijana!
 
Sheria Mtandao Unamtusi Mheshimiwa Kama Huyu Hata Kama Umetumia Jina Bandia Ujue Ni Makosa Na Unaweza Kushitakiwa Hata Kama Uko Mbinguni Kwahiyo Bibi Anti Uwe Makini Sana Na Hivyo Vitisho , Matusi Na Aina Nyingine Ya Udhalilishaji Unaoutoa Dhini Ya Mkuu Wa Chuo Na Viongozi Wengine Wa Chuo

Naamini Raisi Alikuwa Na Akili Timamu Mpaka Kumchagua Prof Mkandala Hakukurupuka Tu
 
Wewe, inteligence unit ya JF ilianza kukufuatilia baada ya usaliti wako dhidi ya waendeshaji wa JF. Kwa sasa umewekwa kwenye microscope. Ukirudia kufanya ujinga kama ule utakomeshwa kabisaaaaa!

kaa mbali kabisa na hao vijana!

MIKE NA MAX BILA AIBU WALISEMA NIMEPEWA MILIONI 5 NA USALAMA WA TAIFA NITAJE WALIPO

EHHH KWELI USALAMA WA TAIFA NYANYA KABISA YAANI WALISHINDWA VYOTE HIVI MPAKA MIMI NA NILIVYOKUWA BUSY HIVI
 
MIKE NA MAX BILA AIBU WALISEMA NIMEPEWA MILIONI 5 NA USALAMA WA TAIFA NITAJE WALIPO

EHHH KWELI USALAMA WA TAIFA NYANYA KABISA YAANI WALISHINDWA VYOTE HIVI MPAKA MIMI NA NILIVYOKUWA BUSY HIVI

Tatizo lako, wewe hukupewa hata pesa kusaliti wenzako. Wivu wako tu kwa mafanikio ya wenzako na kujikombakomba kwako kwa polisi ndiko kulikupelekea uwasaliti wenzako.

Huna haya nyoka mkubwa wewe!
 
Mwafrika Wa Kike Tafadhali Kabadilishe Hizo Rasta Zako , Halafu Urudi Kule Kwa Subi -- Jamaa Zako Wanauliza Upo Wapi
 
Tatizo lako, wewe hukupewa hata pesa kusaliti wenzako. Wivu wako tu kwa mafanikio ya wenzako na kujikombakomba kwako kwa polisi ndiko kulikupelekea uwasaliti wenzako.

Huna haya nyoka mkubwa wewe!

SASA UNA USHAHIDI WOWOTE ?

NAKUPA UWANJA UELEZEE MADAI YAKO ITA HUYO MIKE NA MAX NAO WAJE WAELEZE YAO ITA ATHUMANI HAMISI , ITA BILL NAE ASEMA YAKE

MWAFRIKA WA KIKE USIJIDHALILISHE NAJUA UNATAFUTA UMAARUFU NA ATTENTION WENZAKO HAWAPIGANI KIHIVYO

CHOKA MBYA WEWE
 
Kwahiyo Hapo Ulipo Unakaa Tu Huli , Hufanyi Chochote Unaangalia Shy Anafanya Nini Kasema Nini Ameongea Na Nani Du
 
SASA UNA USHAHIDI WOWOTE ?

NAKUPA UWANJA UELEZEE MADAI YAKO ITA HUYO MIKE NA MAX NAO WAJE WAELEZE YAO ITA ATHUMANI HAMISI , ITA BILL NAE ASEMA YAKE

MWAFRIKA WA KIKE USIJIDHALILISHE NAJUA UNATAFUTA UMAARUFU NA ATTENTION WENZAKO HAWAPIGANI KIHIVYO

CHOKA MBYA WEWE

Wewe nitakuandama mpaka siku ukipotea kama Lowasa. Watu kama wewe hapa US hawaachwi peke yao mpaka siku wakiacha tabia zao.

katika hili wanafunzi wengi wamekufahamu na mbinu zako zimeshidwa tayari.
 
hehehe huyu shy naona anapagawa sasa... any way waungwana mi ngoja nikapumzike kidogo nipate nguvu za kuangalia Liverpool anavyomchapa Chelsea...
nawatakia siku njema kwenu mnaoianza siku na wa hapa nyumbani nawatakia usiku mwema
 
Mkama

Ndio Maana Nasema Haini Kama Huyu Wakiruhusiwa Kuendelea Na Uwendawazimu Wao Ndani Ya Jf Basi Ipo Siku Moja Jambo Litatokea
 
Mkama

Ndio Maana Nasema Haini Kama Huyu Wakiruhusiwa Kuendelea Na Uwendawazimu Wao Ndani Ya Jf Basi Ipo Siku Moja Jambo Litatokea

Hakuna chochote kitakachotokea zaidi ya watu kama wewe kudhibitiwa hapa na ujinga wako uliotaka kuuleta hapa na kuvunja huu mtandao muhimu sana kwa manufaa ya watanzania.
 
Dadiyo Anafuja Pesa Huku Anakusomesha Na Wewe Uje Kuendeleza Ufisadi Saa Hizi Unemgeuka
 
Back
Top Bottom