Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
WEWE UMEKUWA MSEMAJI WA JF KWAHIYO HUO NDIO MSIMAMO WA JF NZIMA ?
Jibu unalo mwenyewe!
Naona kidonge kinakupanda kwa kuona JF bado iko hewani ahnaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEWE UMEKUWA MSEMAJI WA JF KWAHIYO HUO NDIO MSIMAMO WA JF NZIMA ?
Hayo yanafanyika huko ccm na sio hapa JF
wakati fulani muhubiri mmoja wa kikiristo alisema wakristo humsifu zaidi shetani kuliko mungu. kwenye kila jambo lako ukimtaja shetani unaamanisha kwamba shetani ana nguvu nyingi kuliko mungu unayemuamini.
kama kwenye kila jambo linalo kwama katika kuiondoa CCM iwe inasemwa kuwa CCM inashusika, basi tukubali kwamba wao ni zaidi yetu. Siamini hivyo!
Hoja ya msingi hapa ni kwamba kwenye vyuo vyetu vikuu kumekoma kuwa na wanafunzi wenye kufikiri kimantiki, badala yake kumejaa watu wanaokariri kila kitu na watu wanaoishi kwenye nadharia zenye ombwe tangu kuundwa kwake!
Tatizo letu kubwa kwa sasa ni kwamba chuo kikuu kunatumika tuu kama njia ya mtu kutafutia nyenzo ya kupata kazi na hatimaye ajipatie "vijisenti" vyake kwa njia ya ten percent hapo baadaye.
kama vyuo vyetu vingekuwa ni chemichemi ya fikra na falsa mpya tusingekuwa na wasomi wa aina hii tuliyo nayo sasa. elimu pekee toka chuo kikuu inayoonekana kufanya kazi labda ni utabibu wa binadamu pekee yake. kwingine kote kumejaa nadharia zisizoisaidia nchi yetu!
Ni kweli kuwa Chenge hakusoma UD?
Sijaielewa mantiki yako nini hasa!
Hoja ya msingi hapa ni kwamba kwenye vyuo vyetu vikuu kumekoma kuwa na wanafunzi wenye kufikiri kimantiki, badala yake kumejaa watu wanaokariri kila kitu na watu wanaoishi kwenye nadharia zenye ombwe tangu kuundwa kwake!
.Tatizo letu kubwa kwa sasa ni kwamba chuo kikuu kunatumika tuu kama njia ya mtu kutafutia nyenzo ya kupata kazi na hatimaye ajipatie "vijisenti" vyake kwa njia ya ten percent hapo baadaye
kama vyuo vyetu vingekuwa ni chemichemi ya fikra na falsa mpya tusingekuwa na wasomi wa aina hii tuliyo nayo sasa. elimu pekee toka chuo kikuu inayoonekana kufanya kazi labda ni utabibu wa binadamu pekee yake. kwingine kote kumejaa nadharia zisizoisaidia nchi yetu!
Unalinganisha vipi hili na elimu ya Chenge au Rostam Azizi?
Mara zote naamini kuwa kusoma na kuwa na elimu ni vitu viwili vinavyofanana lakini visivyohusiana. Mtu anaweza kuwa na Elimu lakini asiwe msomi na mtu anaweza kuwa msomi lakini asiwe na elimu.
usomi unaweza kupatikana kwa kukariri sana na kufaulu mitihani,lakini elimu inapatikana kwa kufikiri kimantiki na kuzigeuza nadharia kuwa vitendo
Kwa mfano nadharia ya kujumlisha inatuambia kwamba 2+2=4 lakini mantiki inatuambia kwamba matone mawili ya maji yakijumlishwa na matone mengine mawili ya maji, hayawi matone manne badala yake linakuwa tone moja!

Hawa madogo wafukuzwe tu haiwezekani kila siku chuo kimoja tu ndiyo kuna matatizo. Mnatakiwa kujua serikali haina shida ya wasomi sikuhizi kunawasomi wengi tu wametoka nje. Hivyo badala ya kudakia ushabiki wa groups za kitoto mnatakiwa kusoma. Kitu cha pili sisi wengi wetu hapa tumeshamaliza shule na hii website siyo ya vijana wa vyuo!. Je mnasoma sangapi kama kila saa mko kwenye website?. Elimu ni muhimu na inapanda grarama kila siku kama unapata chakula, malazi, walimu vumilia na maliza shule kwani hutapata hiyo nafasi tena kirahisi. Mimi ni msomi na nipo hapa Marekani na kushauri hivyo maana dunia inapoenda tena unaishi Tanzania utawezaje kuishi bila elimu sikuhizi?
Sidhani kama elimu ya vyuo vyetu iko duni kama ulivyosema kwenye post yako. Napingana nawe kuwa elimu ya vyuoni leo ni kuandaa watu kupata vijisenti serikalini kama ulivyosema hapakama ulipata opportunity kusoma Mlimani utaelewa dhahiri kwamba elimu yetu ya juu ni zaidi ya duni. Yaani is somewhere between hell and devel deepsea. Haina chochote zaidi ya mchakato wa kukram na kusolve maswali magumu. Walimu ni wazee wasio taka kurefresh their idea with new world.
Try developed country and you will see the difference.
Kama hiki ndicho uongozi wa shule unabet on basi nchi imekwisha hiyo. Yaani wanaombea hali iwe ngumu kiasi hiki ili wanafunzi washindwe kudai haki yao?
Ni taifa gani hili wanajenga?
Pamoja na maneno yako kuwa mgomo hauna wafuasi, je kuna sababu ya kupiga wanafunzi kwa mabomu ambao hawagomi?
this is getting personal guys, au mmeshazoeana?Dadiyo Anafuja Pesa Huku Anakusomesha Na Wewe Uje Kuendeleza Ufisadi Saa Hizi Unemgeuka
Wanafunzi wa UDSM ni wazembe period!
wanayo access ya internet 24/7 sasa mmeshindwa vipi kuwa active humu au kuwa na forums zenu?
anywa..ombi lenu tumeliona lakini kwa sasa tuko bizee na Mustafa Mkullo
sasa kama hamjiandiki tutafahamu vipi??wewe sisi watu wa UD tuko active sana humu JF.
sema tu shida hatujiandiki kuwa ni watu wa ud