UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

UDSM: Tunaomba msaada wenu JF!

Hayo yanafanyika huko ccm na sio hapa JF

wakati fulani muhubiri mmoja wa kikiristo alisema wakristo humsifu zaidi shetani kuliko mungu. kwenye kila jambo lako ukimtaja shetani unaamanisha kwamba shetani ana nguvu nyingi kuliko mungu unayemuamini.

kama kwenye kila jambo linalo kwama katika kuiondoa CCM iwe inasemwa kuwa CCM inashusika, basi tukubali kwamba wao ni zaidi yetu. Siamini hivyo!

Hoja ya msingi hapa ni kwamba kwenye vyuo vyetu vikuu kumekoma kuwa na wanafunzi wenye kufikiri kimantiki, badala yake kumejaa watu wanaokariri kila kitu na watu wanaoishi kwenye nadharia zenye ombwe tangu kuundwa kwake!

Tatizo letu kubwa kwa sasa ni kwamba chuo kikuu kunatumika tuu kama njia ya mtu kutafutia nyenzo ya kupata kazi na hatimaye ajipatie "vijisenti" vyake kwa njia ya ten percent hapo baadaye.

kama vyuo vyetu vingekuwa ni chemichemi ya fikra na falsa mpya tusingekuwa na wasomi wa aina hii tuliyo nayo sasa. elimu pekee toka chuo kikuu inayoonekana kufanya kazi labda ni utabibu wa binadamu pekee yake. kwingine kote kumejaa nadharia zisizoisaidia nchi yetu!
 
Kigarama,

Ni kweli kuwa Chenge hakusoma UD?
 
Sijaielewa mantiki yako nini hasa!

Sidhani kama elimu ya vyuo vyetu iko duni kama ulivyosema kwenye post yako. Napingana nawe kuwa elimu ya vyuoni leo ni kuandaa watu kupata vijisenti serikalini kama ulivyosema hapa:

Hoja ya msingi hapa ni kwamba kwenye vyuo vyetu vikuu kumekoma kuwa na wanafunzi wenye kufikiri kimantiki, badala yake kumejaa watu wanaokariri kila kitu na watu wanaoishi kwenye nadharia zenye ombwe tangu kuundwa kwake!

na hapa:

Tatizo letu kubwa kwa sasa ni kwamba chuo kikuu kunatumika tuu kama njia ya mtu kutafutia nyenzo ya kupata kazi na hatimaye ajipatie "vijisenti" vyake kwa njia ya ten percent hapo baadaye
.

Na hapa pia:

kama vyuo vyetu vingekuwa ni chemichemi ya fikra na falsa mpya tusingekuwa na wasomi wa aina hii tuliyo nayo sasa. elimu pekee toka chuo kikuu inayoonekana kufanya kazi labda ni utabibu wa binadamu pekee yake. kwingine kote kumejaa nadharia zisizoisaidia nchi yetu!

Unalinganisha vipi hili na elimu ya Chenge au Rostam Azizi?
 
Unalinganisha vipi hili na elimu ya Chenge au Rostam Azizi?

Mara zote naamini kuwa kusoma na kuwa na elimu ni vitu viwili vinavyofanana lakini visivyohusiana. Mtu anaweza kuwa na Elimu lakini asiwe msomi na mtu anaweza kuwa msomi lakini asiwe na elimu.

usomi unaweza kupatikana kwa kukariri sana na kufaulu mitihani,lakini elimu inapatikana kwa kufikiri kimantiki na kuzigeuza nadharia kuwa vitendo

Kwa mfano nadharia ya kujumlisha inatuambia kwamba 2+2=4 lakini mantiki inatuambia kwamba matone mawili ya maji yakijumlishwa na matone mengine mawili ya maji, hayawi matone manne badala yake linakuwa tone moja!
 
Sawa kabisa mkuu

Chenge kasoma udsm
 
Hapa nimekuelewa mkuu!
 
jamani wakuu, tatizo ni kwamba hawa vijana siku hizi ujuaji mwingi, boom linawasumbua na kwa kuwa wengi ni familia zetu, matokeo huwa ni kununua televisheni na music systems, na aghalabu computer ambazo matumizi makubwa huishia kwenye music na pichachafu...semester ikienda mwisho lazima watafute sababu ili chuo kifungwe...mbona hawajagoma barabara ya Sam Nujoma ikamilike? au hatuwasikii hata wakitoa press release kukemea maovu mbalimbali ya serikali? msaada wangu kwao; wajitambue, kisha wawe reasonable, si kila kitu mgomo..after all, wenzao wamesimamishwa na hawajafukuzwa! tunakubali serikali na menejimenti ni vimeo, lakini wasomi onyesheni busara na upeo!!!
 
Hawa vijana inabidi wapate ujumbe kamili na waambiwe ukweli hata kama utakuwa mchungu kama Kwinini. Mimi sioni kama ni dawa kuwa tunatetea kila kitu eti tu kwa sababu wanavutana na viongozi wa serikali ambayo hatuipendi. Hawa vijana wa sasa wameshindwa kujiwekea mazingira ya kuheshimika.Siku zote ukijiwekea mazingira ya kuheshimika, misimamo isiyoyumba,ukawa na hoja zenye nguvu zinazosimama zenyewe, kutamfanya mtu yeyeote afikirie mara mbili kabla ya ku-interfare mambo yako. Kama hatutawaambia sasa na kubaki kuwatetea tu,hawatojirekebisha.Ni vizuri wakaelewa pia kuwa UDSM sio form V au VI
 
Hawa madogo wafukuzwe tu haiwezekani kila siku chuo kimoja tu ndiyo kuna matatizo. Mnatakiwa kujua serikali haina shida ya wasomi sikuhizi kunawasomi wengi tu wametoka nje. Hivyo badala ya kudakia ushabiki wa groups za kitoto mnatakiwa kusoma. Kitu cha pili sisi wengi wetu hapa tumeshamaliza shule na hii website siyo ya vijana wa vyuo!. Je mnasoma sangapi kama kila saa mko kwenye website?. Elimu ni muhimu na inapanda grarama kila siku kama unapata chakula, malazi, walimu vumilia na maliza shule kwani hutapata hiyo nafasi tena kirahisi. Mimi ni msomi na nipo hapa Marekani na kushauri hivyo maana dunia inapoenda tena unaishi Tanzania utawezaje kuishi bila elimu sikuhizi?
 
Habari nilizobnazo,ni kwamba kama khali hii ikiendela mpaka leo saa sita ya mchana basi Makamau mkuu wa chuo atafunga chuo hicho,Jana jioni nilitembelea udasa kuongea na walimu ambao ni rafiki zangu na wako pale Mlimani,

wanashangaa jambo ambalo hawa vijana wanalogomea,wangomea bila kuwa na sababu,watu wamefanya kosa ambalo linapingana na student bylaws,eti wanataka waache kisa wao wanataka,

tunajenga taifa gani lisilofuata shera??lazima watu wajue uhuru wao unaishia wapi na sheria ziwe zinafuatwa tangu wakiwa vijana wadogo.

Nawashauri wadogo zangu,ngudu zangu vijana wa Chuo Cha Mlimani ,Mdogo wangu Daudi Deo..hakikisheni mnalinda Heshima yenu na pia muwe na nidhamu kwa kufuata sheria za Chuo,na ninavyomfahamu mkandara(prof.) ni mtu muungwa na mpenda haki toka yuko pale FASS.
 
Rev Kishoka ashawai kuleta mada ya UDSM na wengi tukaijadili kwa kina sana. Mfumo wa imla ndio madhara yake haya, wanafunzi wanacho jua wao ni kugoma kila jambo la kuwakwaza linapotokea. Wameshindwa kutafuta njia mbadala ya kusolve matatizo yao kwa miaka zaidi ya 30.

Kwanza kabisa mfumo umesababisha wanafunzi wa mlimani kuamini ni haki yao kulipiwa ada, kulipiwa fedha ya bweni na chakula and then ni haki yao kugoma. This is total stupid, and 100% non sense. poor Tanzanian pays every cents kuwalipia nyinyi ada then mnakwenda pale kucheza cheza au kwenda nyumbani kwa dean na kufanya fujo. What a non sense?

I don't blame the students, i blame the whole education system in Tanzania. Hakuna cha maana ndani ya ile system ya X^2000, ni disaster. Wanafunzi wanashindwa kuandaa forum ambazo zitasaidia youth at the bottom, the only thing wanachojua wao ni kunywa pombe huko hostel na kufanya ufuska. JamboForum haipo hapa kutetea uhalifu, kugoma sio kimbilio la kusolve matatizo yenu. Hiyo snow ball movement mnayofanya inawacost walio husika na wasio husika.

I bet, source wa migomo hii ni wale wenye GPA ya 1.5, hawana time na shule and only thing they cares is kugoma and kusababisha chaos ndani ya Mlimani. I advise vijana wenzangu to be rensponsible, few people get that opportunity. Nchi kama US you have to work hard to get loan and federal grand. So, why can't we work hard to produce smart results?

I challange vijana wenzangu kuachana na hii kasumba and change the whole spectrum.
 
Sidhani kama elimu ya vyuo vyetu iko duni kama ulivyosema kwenye post yako. Napingana nawe kuwa elimu ya vyuoni leo ni kuandaa watu kupata vijisenti serikalini kama ulivyosema hapa
kama ulipata opportunity kusoma Mlimani utaelewa dhahiri kwamba elimu yetu ya juu ni zaidi ya duni. Yaani is somewhere between hell and devel deepsea. Haina chochote zaidi ya mchakato wa kukram na kusolve maswali magumu. Walimu ni wazee wasio taka kurefresh their idea with new world.

Try developed country and you will see the difference.
 
Kama hiki ndicho uongozi wa shule unabet on basi nchi imekwisha hiyo. Yaani wanaombea hali iwe ngumu kiasi hiki ili wanafunzi washindwe kudai haki yao?

Ni taifa gani hili wanajenga?

Pamoja na maneno yako kuwa mgomo hauna wafuasi, je kuna sababu ya kupiga wanafunzi kwa mabomu ambao hawagomi?

What was the aim ya kugoma? Nini kilikuwa kiini? Let not look at the top, let focus on each corner.

Kama hawakuwa na kibali cha kuandamana then kwa nini waliandamana? Na kwa nini walikwenda kutoa wanafunzi walio madarasani? Mnapochaguliwa mlimani kila mtu anapata jina lake kwa wakati wake, sasa kwa nini mtu asiyetaka kugoma afanyiwe fujo?

Hawa watoto are out of touch, far away from reality.
 
Wanafunzi wa UDSM ni wazembe period!

wanayo access ya internet 24/7 sasa mmeshindwa vipi kuwa active humu au kuwa na forums zenu?

anywa..ombi lenu tumeliona lakini kwa sasa tuko bizee na Mustafa Mkullo

wewe sisi watu wa UD tuko active sana humu JF.
sema tu shida hatujiandiki kuwa ni watu wa ud
 
wewe sisi watu wa UD tuko active sana humu JF.
sema tu shida hatujiandiki kuwa ni watu wa ud
sasa kama hamjiandiki tutafahamu vipi??
anyway ni bora mmekuja hapa leo?hii inaonesha ni kwamba mko tayari kujadili masuala yenu binafsi na kuacha kujadili mambo yanayohusu taifa hapa katika JF,na nadhani mijadara kama ile iliyokuwa inaandaliwa na DUPSA itakuwa haipo coz tabia hizi mnazozionesha ni kwamba mmekosa ustaraabu na chuo kwa sasa kimejaa wanafunzi msio na subira na wenye jazba zaidi ya yote msiopenda majadiliano

siku zote kama unataka kmaliza jambo lazima kuwe na majadiliano yaliyo mauzri ili kuleta mafanikio hapo mbeleni,Jana mlipewa ushauri wa Bure nendeni kwa Mwenyekiti wa CCM wa mkoa akwasiaidie.

,endeleeni kujiandikisha tutakate ushi,embu tuambie nini kinachowafanya wagome??na leo nasikia mnandelea tena,
 
Back
Top Bottom