Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Anti Usiwe Na Mashaka Na Mimi Kama Huniamini Basi Njooni Hata Kumi Au Kundi La Watu Wengi Tutaongea Wote Kwa Pamoja Au Ingia Pale Mlimani City Halafu Uniambie Tutakuwa Tunaongea Huku Tunatembea Watu Wasijuie Kinachoendelea .
As always!
hapa ufisadi haupiti hata kwa sindano ya ganzi!
Ninawapa onyo wanafunzi wote wa UDSM kuwa na mawasiliano ya aina yeyote ile na SHY mnajimaliza .Ni traitor na hana msaada .Anadandia kila gari .Leteni hoja hapa JF inatosha.Achaneni kabisa ma SHY maana ni nishai sana mtaangamia .
Naona Magari Ya Ffu Yake Pale Hill Park Wapiganaji Wanakunywa Soda Na Maji Kuangalia Hali Ya Usalama Ilivyo Ndani Ya Chuo , Interne Cafe Zone Zimefungwa Na Biashara Kadhaa Zimefungwa , Bwana Anti Nimeshajua Ulipo Jamaa Yako Amenipigia Simu Wewe Njoo Tuonane Savei Baadaye Kidogo Saa 2 Hivi Nikitoka Huku
Wana JF
Wote mnamjua SHY aliavyo mbona mnakaa kimya anapata access na watoto wa wakulima ambao hawaipendi CCM.SHY yuko kazini badala ya sisi kuwasaidia hapa kwa uwazi SHY anataka kuwaona kwa pembeni .Kumbukeni SHY aliniletea Usanii wakati nina issue Muhimbili akaingia mitini lakini nikawahi kumpata baada ya kujiuliza alikuwa na maana gani kunipigia na akatokomea.SHY nakusihi waache watoto wa watu.Nyie wanafunzi kama mnanisoma nasisitiza mtajimaliza kukutana na shy hana msaada hata katika mpichango ni mtupu .Kama ana msaada aweke hapa tuone si Savoy mmeisha anajipanga na watu wake.
hupendi ukweli hasa unapotoka the opposite, umeingiza ufisadi L.O.L! nasubiri uCCM. Nawashauri wadogo zangu wanaUDSM mrudi madarasani, ahirisheni uchaguzi huo, muanze upya, mtampata mumtakaye na demokrasia itadumu baada ya kuweka mikakati yenye nguvu.
Lunyungu,
Nimewajulisha vijana wote waliokuwa wawasiliana na mimi kuwa wakae mbali na huyu Shy na so far wote wanamjua usnitch wake.
hebu jibu hii kwanza,haya maneno kweli au wanakudhania tu jamaa.
kama ni kweli tukuepuke mapema.
Kama umesha fanya hilo nashukuru maana wangaliweza kuangamia.SHY is a hell.Hana maana kabisa na msaada wote tunatolea hapa yeye anatolea kwa simu why ? Lazima wajiulize huyu jamaa si mtu kabisa .Yuko kazini na hana msimamo .Muepukeni kama ukimwi na kifua kikuu .Atawangamiza na JF wote mnajua mambo ya SHY .Ama mmesahau ?
Ukweli mwenyewe umekushinda uakaanza kujichanganya ... ohh mara hakuna sababu ya kugoma ... ohhh mara ni vizuri wagome ili wapewe ruhusa ya kujichagulia viongozi wao?
Katika hili huwezi kupata vyote mama, hapa ni mawe tu na ukipotoka unaipata right there on your face .... slap!
Msomi wala usiwe na wasiwasi kabisa katika hili. Washauri wanafunzi wafuate ushauri wa Mwanakijiji na kuweka malalamiko yao kwenye maandishi. Wawe as precise as they can.
Meanwhile, vilio vyao vimesemwa hapa na wengi wameviona na sasa kinachofuata ni bango tu. Huyu Mkandara hawezi kukandamiza haki na demokrasia wakati ni yeye ndiye alikuwa ana-organize ya mambo ya demokrasia Tanzania kama sikosei.
Demokrasia lazima ioneshwe kwa vitendo na yote hayo yataanzia hapo chuoni. CCM hawawezi kuingilia chaguzi za wabunge (kama ule wa kiteto na kupiga watu) na wakawa hadi na ballz za kuingilia wasomi wetu.
Kwa hili waambie vijana kuwa wana bonge la support hapa JF na kilio chao kitasikiwa pia.
....
Mimi Nataka Kuonana Angalau Na Mmoja Wa Wanafunzi Hawa Wanaogoma Nimeshakutana Na Mmoja Aliyerusha Jiwe Jana Pale Hall 6 Na Kutaka Kuumiza Wengine .
Kwi kwi kwi, mwepesi sana kusahau na mgumu kuelewa! Taratibu mwanamke. haya kwa heri ngoja nikatumikishwe na mkoloni mie.
Mama Huwezi Kuandika Kitu Au Kuelezea Vitu Bila Kupata Vitu Hivyo Toka Kwa Pande Zote Mbili Na Mimi Sio Mshabiki Nataka Kuongea Na Wote Pamoja Na Hawa Wanaoleta Malalamiko Yao
Naona Wengi Wanashindwa Kwa Sababu Cafe Zote Za Udsm Zimefungwa Kwahiyo Huduma Ya Internet Kwao Inakuwa Ngumu Kidogo
Mimi Nataka Kuonana Angalau Na Mmoja Wa Wanafunzi Hawa Wanaogoma Nimeshakutana Na Mmoja Aliyerusha Jiwe Jana Pale Hall 6 Na Kutaka Kuumiza Wengine .
Lunyungu, mie mgeni humu ndani, simjui vizuri Shy lakani nahisi ana jambo maana toka jana yuko maeneo ya mlimani na katika habari zake ni kuwatafuta Ant ufisadi na wanafunzi wengine. Mbona huleti habari mpya? Shy umewahoji VC et al? kama bado ondoka huna mpya shu shu shu
Shy toka jana hujapata maelezo ya pande zote!!!! Ahhh wapi!!!!usinidanganye, una kazi ingine tu hapo, si useme ukweli??usiwainngize watoto mkenge, na wewe kuna siku utaingizwa.
..... haya kwa heri ngoja nikatumikishwe na mkoloni mie.