GE2025 UDSM yailaani UDASA kwa kukosa “Maadili ya Umma” baada ya kulaani uvunjifu wa haki nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Muhuni Mkuu(Msoga) ndio kiongozi wa UDSM unategemea nini?
Hicho chuo kishakuwa cha machawa na kuchawiana
Na hiyo haikuja kwa bahati mbaya,ila mpango mkakati ili kuli uza taifa na watu wake kwenye kila nyanja.
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

TAARIFA KWA UMMA​
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.

Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025

Ukitaka kujua iyo chuo ilivyo na viongozi machawa uliza any graduate wa chuo hichi hasa kipindi cha hivi karibuni ndani ya miaka saba.

Mnaweza kwenda kwenye maandalizi ya awali ya graduation , ila utashangaa mnaanzwa kupangwa mara uyo mgeni rasmi ni rais mtaafu japo sio amiri jeshi mkuu na sisi tunataka Ugali msituangushe, na anaeongea ayo ni mtu na elimu yake kubwa sana tu.

So kukanusha hili kwangu sio ajabu kabisa
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

TAARIFA KWA UMMA​
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.

Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Masikini bongo lala 🤣🤣🤣🤣ni kazi ngum mnoo kupambana ili kushindana na ile kweli!!
 
Siku za huko nyuma, UDSM ilikiwa ni taasisi ya elimu hasa, iliyokuwa mstari wa mbele kutetea haki na kusimama kwenye misingi ya kitaaluma bila kupindisha.

Lakini siku hizi kwenye nafasi za utawala, yamejazwa machawa ambayo yamekigeuza chuo kikuu kuwa kama genge la machawa wanaosubiria teuzi. Kwa aina ya watawala wa hizi taasisi za elimu ya juu, elimu yetu itazidi kudidimia, kwa sababu wanaoongoza hivyo vyuo, wao wenyewe elimu haijawakomboa. Unajiita msomi, halafu unakuwa chawa. Hao ndio wanajiona kuwa wapo jalalani, na wanaamini uchawa ndio utakaowachomoa kutoka jalalani. Hawa wanadhalilidha sana taasisi za elimu ya juu.
Kansela wa Chuo hataki kua Mstaafu wa kisiasa ilo lita leta nidhamu vyuoni sio Rais mstaafu heti Kansela wa Chuo kwa nini? Mambo ya Academic unayaletea siasa ndo matatizo. Mkiona mwanafunzi ana Elemti za Kisiasa mpeleke vyuo vya Kisiaa
 
Active Stomach with frozen brain.... Wachumia tumbo kazini
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na

TOKA MAKTABA:

1761311924943.jpeg
 
TOKA MAKTABA :

1761312256723.jpeg

Maandamano ya Dar es Salaam wakidai Mandela aachiliwe kutoka jela ya makaburu

1761312292907.jpeg

Mapokezi ya Fidel Castro airport ya Dar es Salaam
 
Bango chuo Kikuu cha University of Dar es Salaam UDSM

TUMENYANYASWA VYA KUTOSHA
TUMEIBIWA VYA KUTOSHA
TUMEPUUZWA VYA KUTOSHA
SASA TUNATAKA MAPINDUZI

1761312604988.jpeg
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

TAARIFA KWA UMMA​
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.

Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Haya ya mwisho tu ndio wamekosea....! Kama kinakanushi wangekaa kimya watanzania wakaamua wenyewe waende kupiga kura au la!
 
Wasomi wa vyuo vya elimu ya juu wakataa kuwa chawa, kunyamazia maovu yanayotetewa na makamu mkuu wa chuo kikuu cha University of Dar es Salaam ambaye ni mmojawapo wa wateule wengi wa rais wanaofanya juhudi kukaba nafasi ya watu kuongea kwa uhuru kuhusu nchi yao

TOKA MAKTABA :
22 August 2022

Wanufaika wa teuzi kibao anazofanya rais Samia Hassan

UTEUZI
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Prof William Anangisye, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM Kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani la Tanzania-NECTA

1761326149721.jpeg
 
Back
Top Bottom