GE2025 UDSM yailaani UDASA kwa kukosa “Maadili ya Umma” baada ya kulaani uvunjifu wa haki nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
UDSM wao wana furahishwa na watu kutwekwa na kudhulumiwa haki ya kuishi ?
Hapo ndo wanatoka wasomi wetu yaaan hicho ni chooo sio chuo. Wamejaamatahila tu pale ndo maana mm sijataka kusoma nipoteze mda na utu wangu kuja kuwa chawa... Fu
 
TOKA MAKTABA :

UTEUZIRais Samia Suhuhu Hassan amemteua Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete Kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (Chancellor)Kwa Kipindi Kingine Cha Miaka Sita Kuanzia 17-01-2022
1761326725956.jpeg

1761326781969.jpeg
 
Kweli uchawa umefika kwenye chuo ambacho watu wengi walikuwa na shauku kupita, ila kimefuga machawa
 
Wanaokemea utekaji ndio wanaonekana wakosefu.

Hao UDSM nao watoe bandiko lao kuonyesha wanaunga mkono utekaji sasa.
 
UDASA wabarikiwe sana.

Anangisye ana hofu kutopewa term nyingine au kufanyiwa finish.
Endeleeni kuwapa mafuta, wenye nchi yao wakirivenji hamnaga msaada wowote. Waache waendelee kushindana na Dola wasije kulialia
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

TAARIFA KWA UMMA​
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.

Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Sasa UDSM wanahangaishwa nini na msimamo wa UDASA jumuiya ya wanataaluma yenye misimamo yake?
 
Wewe kichwani utakuwa umejaza kamasi. Uongozi wa UDSM si ndiyo umeingilia uhuru wa UDASA? Yaani kima kama wewe una-criticize uongozi wa UDSA? Mkiishafumuliwa marinda mnakuwa kama mmelaaniwa.....mnapayuka payuka tu! Kama UDSM wametumia uhuru wao kulikuwa na haja ya kutoa tamko linalokinzana na UDASA? Na mbona uhuru wao umetumika mara baada ya tamko la UDASA? Yaani kwa sababu mnafaidika na huu mfumo wa ******* basi mnawaona watanzania wote kama mazombie siyo??
Udasa wametumia uhuru wao

Uongozi wa udsm wametumia uhuru wao..

Sasa mbona mnapanua vidole badala ya kupanua ubongo!
 
Dawa kuwateka wabishi na kuwapoteza, waliobaki wataelewa kwanini kuna malamiko ya utekwaji.
 
Wewe kichwani utakuwa umejaza kamasi. Uongozi wa UDSM si ndiyo umeingilia uhuru wa UDASA? Yaani kima kama wewe una-criticize uongozi wa UDSA? Mkiishafumuliwa marinda mnakuwa kama mmelaaniwa.....mnapayuka payuka tu! Kama UDSM wametumia uhuru wao kulikuwa na haja ya kutoa tamko linalokinzana na UDASA? Na mbona uhuru wao umetumika mara baada ya tamko la UDASA? Yaani kwa sababu mnafaidika na huu mfumo wa ******* basi mnawaona watanzania wote kama mazombie siyo??
Hata hvo wewe ndo zombie, na utaendelea kuwa zombie..
Udasa watu wengi tunaifahamu, muundo wake na uendeshaji wake uliokaa kiuharakati wa upande mmoja..

We zombie nikurudishe nyuma kidogo..unakumbuka wakati wa mauaji ya kibiti? Je hawa udasa walitoa maoni gani au wale hawakuwa watanzania? Wakati vituo vya polis vinavamiwa kama sitakishari, uliona tamko lao lolote?
Uongozi wa udsm kupinga uhuni wa udasa, we imekuuma nini?
 
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

TAARIFA KWA UMMA​
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.

Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.

Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.

Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Kwani kuna mahali UDASA wamesema kwamba wametia wanaka huo kwa niaba ya udom? Anangisye aache ujinga! Hizi ndizo degree za chupi (in Gambo's voice)
 
Yaan wawakamate watu wanaotetea haki ya kuishi na kukemea utekaji? Au mimi ndo sijaelewa?
 
Back
Top Bottom