Na hiyo haikuja kwa bahati mbaya,ila mpango mkakati ili kuli uza taifa na watu wake kwenye kila nyanja.Muhuni Mkuu(Msoga) ndio kiongozi wa UDSM unategemea nini?
Hicho chuo kishakuwa cha machawa na kuchawiana
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji
TAARIFA KWA UMMAChuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.
Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Ukitaka kujua iyo chuo ilivyo na viongozi machawa uliza any graduate wa chuo hichi hasa kipindi cha hivi karibuni ndani ya miaka saba.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji
TAARIFA KWA UMMAChuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.
Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Masikini bongo lala 🤣🤣🤣🤣ni kazi ngum mnoo kupambana ili kushindana na ile kweli!!Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji
TAARIFA KWA UMMAChuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.
Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Kansela wa Chuo hataki kua Mstaafu wa kisiasa ilo lita leta nidhamu vyuoni sio Rais mstaafu heti Kansela wa Chuo kwa nini? Mambo ya Academic unayaletea siasa ndo matatizo. Mkiona mwanafunzi ana Elemti za Kisiasa mpeleke vyuo vya KisiaaSiku za huko nyuma, UDSM ilikiwa ni taasisi ya elimu hasa, iliyokuwa mstari wa mbele kutetea haki na kusimama kwenye misingi ya kitaaluma bila kupindisha.
Lakini siku hizi kwenye nafasi za utawala, yamejazwa machawa ambayo yamekigeuza chuo kikuu kuwa kama genge la machawa wanaosubiria teuzi. Kwa aina ya watawala wa hizi taasisi za elimu ya juu, elimu yetu itazidi kudidimia, kwa sababu wanaoongoza hivyo vyuo, wao wenyewe elimu haijawakomboa. Unajiita msomi, halafu unakuwa chawa. Hao ndio wanajiona kuwa wapo jalalani, na wanaamini uchawa ndio utakaowachomoa kutoka jalalani. Hawa wanadhalilidha sana taasisi za elimu ya juu.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na
Haya ya mwisho tu ndio wamekosea....! Kama kinakanushi wangekaa kimya watanzania wakaamua wenyewe waende kupiga kura au la!Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji
TAARIFA KWA UMMAChuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.
Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Mwoga Mwoga sana huyu jamaaUDASA wabarikiwe sana.
Anangisye ana hofu kutopewa term nyingine au kufanyiwa finish.
Kabisa ndio maana Udasa wamestukaNa hiyo haikuja kwa bahati mbaya,ila mpango mkakati ili kuli uza taifa na watu wake kwenye kila nyanja.