ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Hapo ndo wanatoka wasomi wetu yaaan hicho ni chooo sio chuo. Wamejaamatahila tu pale ndo maana mm sijataka kusoma nipoteze mda na utu wangu kuja kuwa chawa... FuUDSM wao wana furahishwa na watu kutwekwa na kudhulumiwa haki ya kuishi ?
Endeleeni kuwapa mafuta, wenye nchi yao wakirivenji hamnaga msaada wowote. Waache waendelee kushindana na Dola wasije kulialiaUDASA wabarikiwe sana.
Anangisye ana hofu kutopewa term nyingine au kufanyiwa finish.
Sasa UDSM wanahangaishwa nini na msimamo wa UDASA jumuiya ya wanataaluma yenye misimamo yake?Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji
TAARIFA KWA UMMAChuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.
Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Udasa wametumia uhuru wao
Uongozi wa udsm wametumia uhuru wao..
Sasa mbona mnapanua vidole badala ya kupanua ubongo!
Hata hvo wewe ndo zombie, na utaendelea kuwa zombie..Wewe kichwani utakuwa umejaza kamasi. Uongozi wa UDSM si ndiyo umeingilia uhuru wa UDASA? Yaani kima kama wewe una-criticize uongozi wa UDSA? Mkiishafumuliwa marinda mnakuwa kama mmelaaniwa.....mnapayuka payuka tu! Kama UDSM wametumia uhuru wao kulikuwa na haja ya kutoa tamko linalokinzana na UDASA? Na mbona uhuru wao umetumika mara baada ya tamko la UDASA? Yaani kwa sababu mnafaidika na huu mfumo wa ******* basi mnawaona watanzania wote kama mazombie siyo??
Kwani kuna mahali UDASA wamesema kwamba wametia wanaka huo kwa niaba ya udom? Anangisye aache ujinga! Hizi ndizo degree za chupi (in Gambo's voice)Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa. Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Pia soma: GE2025 - Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji
TAARIFA KWA UMMAChuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) pamoja na uongozi wake kinapenda kuujulisha umma kwamba hakitambui wala hakihusiki kwa namna yoyote na tamko lililotolewa na Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA) tarehe 23 Oktoba 2025.
Uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam unasisitiza kwamba UDASA ni Jumuiya ya kitaaluma yenye uongozi na misimamo yake binafsi, ambayo haiwakilishi msimamo wa Chuo. UDSM inaendelea kuwa taasisi ya umma, inayozingatia misingi ya kitaaluma, katiba, sheria za nchi, na maadili ya umma, na kujikita katika mijadala yenye tija kwa maendeleo endelevu na mshikamano wa kitaifa.
Tunatoa wito kwa Watanzania wote wenye sifa za kisheria kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025, kwa amani, utulivu na uzalendo, tukizingatia kwamba amani ni msingi wa maendeleo, demokrasia, na ustawi wa Taifa letu.
Prof. William A. L. Anangisye
Makamu Mkuu wa Chuo
23-10-2025
Chawa ProfessorsSio kwamba wanafurahishwa ila hawataki watu waseme, wanataka kukaa kimya