Udsm yazidi kutesa mitihani ya nbaa-cpa(t)

We think Globally and we act Globally with ACCA, CPA (T) can not cross the border of Tz
 
mimi nasoma mzumbe university-law ,kiukweli UDSM ni baba lao walimu wa kutosha,inachukua vipanga wengi
naona bado hujaamka...pitia hapa..
 

wewe hapo ulipo una nini?? kazi kusifia chuo tu.. elimika ndugu!
 
Duh!ina maana TIA nayo imeipiga bao mzumbe?

TIA inawanafunzi 500 kila mwaka wakati mzumbe ina wanafunzi 150, sasa takwimu za NBAA si za kisomi maana zenyewe zinaangalia idadi ya waliofaulu bila kuangalia na idadi ya waliofanya mitihani kutoka chuo husika.
 
Na sisi wanaUDSM tumezidi ukiritimba, kujilinganisha na makapa ni sawa na kujidhalilisha, level zetu ni akina zulu natal, pretoria, joharnesburg nk nk...

Watoto wa shule za kata na division three hamjielewi
 
Duh!ina maana TIA nayo imeipiga bao mzumbe?

TIA iko juu sana kwa accounting & procurement usi under rate; Mfano kwa sasa wanatoa degree kali ya "Public sector accounting and finance"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…