UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

UEFA Champions League 2020/21: Nani kuwa Bingwa kati ya Manchester City na Chelsea?

Hizi ni mind games za TT. Kante is 100% fit
What Thomas Tuchel said on N'Golo Kante

“With N’Golo nothing has changed. I think about changing my tactics and just put him in training and put him on the pitch when the game starts on Saturday and maybe I will not speak to the doctors and physios so I hear no more doubts.

“It looks good and I hope it stays like that.”

Source: absolute chelsea news.
 
Nchini Ureno, jijini Porto kwenye kiwanja cha Estadio Do Dragao mnamo saa nne kamili usiku muda wa Afrika mashariki itachezwa fainali ya Mabingwa Ulaya (UEFA CHAMPIONS LEAGUE) ikiikutanisha Manchester City bingwa wa ligi ya Uingereza (×5) akiumana na Chelsea (The Blues).

Manchester City wanausaka ubingwa huu kwa mara ya kwanza huku Chelsea wakitafuta kuinua kombe kwa mara ya pili baada ya kuishangaza dunia 2012 pale walipoifunga Bayern Munich nchini Ujerumani kwenye fainali ya UCL na kuifanya Chelsea kuwa timu ya kwanza kutoka jijini London kuinua kombe la UCL na timu ya tano kutoka nchini Uingereza.

Hii ni fainali ya sitini na sita lakini ni ya ishirini na tisa tokea ibadilishwe kutoka EUROPEAN CHAMPIONS CLUBS CUP na kuwa UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

1.jpg
 
Marekebisho kidogo.

Man city wanayo walau mataji matano ya EPL kwa kumbukumbu za haraka haraka.

Hizo 3 umetaja ni kwa Pep peke yake.

Ila Roberto Mancini ana taji moja, Pellegrin analo moja as well.

Kuhusu nani kuibuka bingwa, Chelsea atafanya surprise nyingine kama ile ya pale Munich 2012
 
Oooh asante [emoji123]
 
Oooh asante [emoji123]
Ilikuwaje Man U ikashiriki Europa league badala ya Champion League.?

Ikumbwe msimu wa 2019/2020 ilikuwa ya 3 ambapo ni sifa ya kucheza Champion League moja kwa moja
 
Ilikuwaje Man U ikashiriki Europa league badala ya Champion League.?

Ikumbwe msimu wa 2019/2020 ilikuwa ya 3 ambapo ni sifa ya kucheza Champion League moja kwa moja
Waliotolewa makundi.. Kundi lao alifuzu psg na RB leipzig
Man United ilishishka nafasi ya tatu hivyo kwenda europa league
 
Me ni fans mkubwa saana wa chelsea ...chelsea anaaminika hana kikosi cha kumzuia city bt trust me leo chelsea atanyanyua ndoo... si kwaxabab ni bora zaid ya city hapana ila bahati itakuwa upande wetu.
#Hutaki au
JamiiForums1357174187.jpg
 
Back
Top Bottom