Haiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivoHio ndio miongozo ya UEFA nimetoa kwenye website Yao we unasema haiwezekani!!!
Timu za ligi moja zinaweza kukutana kuanzia robo fainali kwenda mbele.Haiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivo
Tangu nifatilie sijawai ona timu kwenye ligi moja zikavaana labda kwenye fainali ile ya Spurs na Liverpool ila kwa makundi ya mitoano haiwezekani
Mi pia nawaombea ila hao napoli na bayern ni habari nyingineMkuu Man city kwa sasa wanajitosheleza hio ni lastseason ambapo hawakua na striker aliesharp
Hii season wasipokua makini anachukua pia namuombea π
Aisee Palina ningekua karibu yako ningekupiga kibao kimoja matata sana, mbona unakua ligumu ivo kuelewaHaiwezekani labda kue na sababu maalum ya kufanya hivo
Tangu nifatilie sijawai ona timu kwenye ligi moja zikavaana labda kwenye fainali ile ya Spurs na Liverpool ila kwa makundi ya mitoano haiwezekani
Angalia magoli waliyokuwa wanafunga (dhidi ya PSG,Chelsea first leg na man city second leg), unaona kabisa ni bahati ndio iko upande wao.Anza kujiuliza kwanza alimfunga vipi Psg + Chelsea kabla ya kukufikia wewe Man City na akamalizia na Liverpool ambaye alikuwa One point behind you in EPL last season. Kwahiyo hakuna bahati uchwara waliwazidi mbinu tu.
Leo hakuna seeding kwa io hata kama mmetoka kundi Moja mnakutana tu, sheria zinabadilika sio bibilia Hio au msaafu, muwe mnafatilia mambo sio kujifanyia wajuajiTimu za ligi moja zinaweza kukutana kuanzia robo fainali kwenda mbele.
Ila timu ambazo zimetoka kundi moja kukutana mtoano haijawahi kutokea labda miaka ya 50's huko.
Mimi napenda Soccer BetSiku ya kesho kunatarajiwa kuchezeshwa draw ya robo fainali ya ligi ya mabingwa ulaya, Europa pamoja na conference league.
Hivyo sio mbaya wadau wa soka tukajadiliana na kutoa mitizamo mbalimbali kuhusu nani atakutana na nani katika hatua ya robo Fainali ya ligi ya mabingwa ulaya.
TIMU ZILIZOFUZU.
1. Chelsea (England)
2. Benfica ( Portugal)
3. AC Milan ( Italy)
4. Bayern Munich ( Germany)
5. Inter Milan ( Italy)
6. Manchester city (England)
7. Real Madrid (Spain)
8. Napoli ( Italy)
UTABIRI WANGU
Man city vs AC Milan
Inter Milan vs Real Madrid
Bayern Munich vs Benfica
Napoli vs Chelsea
Mawazo yako ni yapi?
Mkuu wangu napoli wasikupe presha ,wanastriker mmoja Osimhen mayb Bayern ila mpira unadunda Man city anawatoa wote hao πππMi pia nawaombea ila hao napoli na bayern ni habari nyingine
Kwaiyo ndio ukaamua kutukimbia jumla kwenye jukwaa la the cityzens.Mie mwenyewe ni city kindaki ndaki, ila kwa UCL tunatepeta km sio sisi vileee. Aaaaah.
Mwaka jana tulipigwa 2 dkk za majeruhi aaaah.
Labda mumuhonge yule cancelo lasivyo atatoa siri na mnatolewa na BayernKwaiyo ndio ukaamua kutukimbia jumla kwenye jukwaa la the cityzens.
Msimu huu tunabeba ndoo iyo.
Huwajui napoli vizuri wewe unamjua huyo mtoto pichani?Mkuu wangu napoli wasikupe presha ,wanastriker mmoja Osimhen mayb Bayern ila mpira unadunda Man city anawatoa wote hao πππ
Mimi nipo man city na napoli wewe je?Half american kwa hizo draw upo timu gani mkifungwa nikuzomee??
ππ amepoa huyu ila acha waje vile wanakuja ila mark my wordsHuwajui napoli vizuri wewe unamjua huyo mtoto pichani?View attachment 2553531
Hakuna team inaipasuaga Madrid kama man city shida tu watu mnakazaga fuvuUtachakazwa kama mwenzako Liverpool.
Napoli wako vizuri mno, huyo osimeh analijua goli hadi sio vizuriππ amepoa huyu ila acha waje vile wanakuja ila mark my words
Bayern tutapambana nao kigumu tu, tunapiga pale alipopiga Villarreal msimu ulopita.Labda mumuhonge yule cancelo lasivyo atatoa siri na mnatolewa na Bayern
Mimi Bayern, Man city Napoli sio kivile ila i enjoy their style and VibeMimi nipo man city na napoli wewe je
Hii imekaa kibiznec zaid kama Wanavyo taka wao. π1.chelsea vs Bayern Munich
2.Napoli vs benfica
3.inter Milan vs Ac Milan
4.Man city vs Real Madrid