Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuuh hii hatareeeee. MweeeeeehNa bayern nao huko wana kiwewe hivihivi, tunaogopana.
Ngoma ni 50/50, ngoja tusubiri mbungi.
Bayen aliyekufa tatu jana?Naiona fainali ya 2012 Bayern vs Chelseafc ikijirudia.
Wewe city unaijua vuzuriTobaaaaaaaaah, citizens tumetokaaaaaaaa
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Naijua vyemaaaaaWewe city unaijua vuzuri
Hakuna mbwa alisha tuzingua Etihad kuanzia Madrid, PSG,buyern pia anatujuaNaijua vyemaaaaa
Bila kupepesa macho hakuna timu ya Italy ya kubeba kombe na Kwa fainali ni heri aende AC Milan au Inter Napoli Wana utoto mwingi sana yule winga wao na 77 bila victor uwanjani anaonekana anazunguka zunguka tuKombe hili linatakiwa liende Italy msimu huu, vijana wa San Siro na San Paolo wakomae kwenye fainali wabebe kombe hili. Maana lazima kwa vyovyote vile lazima fainali ichezwe dhidi ya timu kutoka Italy, labda itokee Benfica kapindua meza kibabe dhidi ya Inter.
Basi sawaaahHakuna mbwa alisha tuzingua Etihad kuanzia Madrid, PSG,buyern pia anatujua
They are out. I mean Napoli.Pamoja ya kuwa ndio timu yangu tokea kitambo hadi sasa, lakini hadi kufikia hapa ni kibahati tu. Napoli anaweza kutuumbua maana timu imepwaya mno hadi kwenye serie A ina struggle hata kwa timu zinazoburuza mkia.
Kweli kabisa viungo na mawinga wao walikuwa hampi kabisa mipira Victor OsmehenNapoli ilibidi watoke tu wanacheza game ya champion leauge Tena game ya mtaona kama wanacheza mechi ya ligi pongezi Kwa Milan na kipa wao Kwa kucheza penati Ac Milan hakuna namna inabidi aende fainali tu
Hili nimeona linazungumziwa na watu wengi sana mpaka wengine wameenda mbali na kusema kuhusu swala la rangi ( ubaguzi wa rangi)Kweli kabisa viungo na mawinga wao walikuwa hampi kabisa mipira Victor Osmehen
KATIKA mipira michache aliyolishwa mojawapo ndio umezaa like goli, nimeshangaa sana,Hili nimeona linazungumziwa na watu wengi sana mpaka wengine wameenda mbali na kusema kuhusu swala la rangi ( ubaguzi wa rangi)