UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Hii Uefa bana Atletico watapigwa tu na Leo hakuna cha mda wa maongez,tena wale wa kubet mpe handcup Madrid.
 
niko hapa jiji la milan naona ndoo inatembezwa mitaa ya milan mashabki waione kisha inakwenda kupack uwanjani san siro
 
hahaaahaaahaah....pnc mkaanga sumu maarufu kutoka catalunya
 
Reactions: PNC

Nipo Atletico ila kazi ipo kwakuwa Real Madrid kwenye fainal sijui huwa ana sumu gani aisee. Kipindi kile alikuwa anapigwa hadi 6 na barca walivyokutana fainal cope del ray barca alikalishwa ka mtoto. Walivyokutana UCL na Atletico tuliona kilichotokea na safari hii kwenye ligi Atletico alishinda nje ndani. Mark my words
 
Pamoja sana mkuu Mussolin5
Hala Madrid
 
Hii kauli utaijutia
Cc th Name na Szczesny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…