UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

UEFA Champions League: Atletico Madrid Vs Real Madrid

Oblak, Savic, Gabi, Carrasco, Casemiro na Ramos hawa jamaa leo walipiga kazi haswaa...
 
1464474047604.jpg

Hongera Madrid
 
Usiongee kwa mapenzi, Ongea kwa facts
Shots wote wamepiga 13
zilizokwenda on Target Atletico 4 R.Madrid 7
Save Atletico 6 R.Madrid 3
Tuongee facts sio mapenzi, kimchezo atletico alizidiwa wengi walitamani ashinde lakini imekuwa ndivyo sivyo. Mimi nashangaa Watu waliokuwa wanaamini Atletico atashinda kwasababu kawatoa vigogo, tumejisahau hao vigogo kawatoa kwa namna gani?
Ni goal advantage pekee ndo iliyomfanya akawatoa hao vigogo hamna kingine kwa lugha nyepesi Atletico hawezi kujihakikishia ushindi hadi acheze twice. kwa mtu yeyote anatefatilia soka akiambiwa ataje timu 4 katika zote ulaya inayoweza kuchukua kombe hilo R.Madrid,Barcelona, Buyern munchen hazikosi hizo nyengine ndo wengine watagombania
 
Major mwenda umeongea vema

Mtu badala ya kusema timu aliyo ipenda imeshindwa

Eti timu bora ime shindwa

Hawachek ata statistics za mechi
 
Back
Top Bottom