Rough player
Member
- May 26, 2018
- 39
- 120
Ngoja tusubiri hiyo 26. Ninacho amini mambo huwa hayatokei kwa bahati mbaya tu.
3 in a rowMkuu sio ramli na ninaombea Madrid washinde..
nipe matokeo mkuuSiku imefika
Akiba ya maneno muhimuhata bila bandiko hilo ....Liverpool ni mabingwa UCL 2018.....
Bado upo? Au ndo wewe ulijitundika?Dah! Kwa utabiri wangu wacha nkaweke bet ya 1M kwa Liverpool