Butua Butua ya EPL inamfanya Guardiola aonekane kocha wa kawaida sana wakati ngoma ya La liga ilimfanya aonekane Kocha wa hatari duniani.... Thats the beauty of EPL, you shine in EPL, you will shine anywhere, but you shine in spain, you better not go to EPL :/kuna watu hufananisha la liga na butuabutua ya EPL!?
Tuende na takwimu tusikariri. Ligi ya hispania ni bora zaid dunian kwa sababuButua butua
Butua Butua ya EPL inamfanya Guardiola aonekane kocha wa kawaida sana wakati ngoma ya La liga ilimfanya aonekane Kocha wa hatari duniani.... Thats the beauty of EPL, you shine in EPL, you will shine anywhere, but you shine in spain, you better not go to EPL :/
For sure huwez uza maybach kwa hasara af kesho ukaenda nunua ileile kwa pesa ya kunulia bughati huo ni utahairaKama parking yako ina bentleys na rolls royce unaweza kupunguza few mercs na bmws. Ila mnunuzi si ajabu sana akaenda kutamba mtaani kwao!
Tuende na takwimu tusikariri. Ligi ya hispania ni bora zaid dunian kwa sababu
»champions league league imechukuliwa zaid na Real Madrid ya hispania.
»Mechi kali ya deby kal ya vilabu dunian ni ya Barca vs madrid
»Zaid ya mwaka wa tatu sasa kombe la europa linachukuliwa na sevilla kutoka hispania.
»Ndani ya misimu mitatu ya champions league misimu miwil fainal zmekutana timu za hispania tu.
»zaid ya msimu wa nne sasa timu ya hispania lazima icheze fainal ya champions league
»ni miaka nane sasa tuzo ya mchezaj bora wa dunia wanapokezana Messi na Ronaldo wa la liga.
» list ya wachezaj bora dunian iliyompa Ronaldo tuzo ni kwamba kwenye rank yao top sita ni wa hispania then wengine wanafuata.
NB: epl inafuatiliwa na weng pia investment yao kubwa lakin ni lig ya kawaida
Bahati mbaya sikuwa na maybach...nilikuwa na ordinary s class niliemuuzia akai upgrade to maybach why not buying it back?For sure huwez uza maybach kwa hasara af kesho ukaenda nunua ileile kwa pesa ya kunulia bughati huo ni utahaira
Mkuu nakushukuru sana kwa uchambuz wako mzur. Ningependa ujibu maswali yangu km utapenda.>>> Champions League Kuchukuliwa na R. madrid mara nyingi haimaniishi kuwa eti La liga ndio the best! Fo real? In that case Seria A is best then EPL? because AC Milan is a five time winner!
>>> Mechi Kali duniani ni derby ya Madrid na Barcelona? Barcelona ni timu ilo rise juzi tu, na kufanywa kuwa ni mechi bora ni on purpose, makusudi inafanywa ionekane ivo by giving it too much attention. Mechi nyengine ya kusisimua La liga ni ipi? Madrid na Atletico? Barca na Atletico? Derby ya La liga ni kama bidhaa za oriflame, GNLD, ndo zinazotumika sana na kujitangaza sana, wakati za EPL ni kama shampoo ya HEAD and Shoulder, husikii mtu akikwambia njoo ujiunge utengeze milioni, lakini ni bidhaa bomba... Derby ya La liga ni Messi na Ronaldo. Lakini derby za EPL Ni team kwa Team sio single player. Ligi yenu full of hype.
>>> Mwaka wa tatu Sevilla bingwa wa Europa, Okey sawa, but that doesnt make Sevilla the best team in Europe. When wa the last time they won the La Liga? Unajua kwanini La liga haina Mvuto zaidi ya mechi ya Barca na Madrid na Atletico na Madrid? The league is only dominated by 2, Barca na R.Madrid, Atletico nae kashtuka juz tu. The race for la liga ni for 2 only, in EPL, the unexpected happens, Hii ndio raha ya soka. Uingereza kuna Arsenal, Chelsea, Tottenham, Man city, Man utd, Liverpool, wote wanang'ang'ania ligi.
>>> Miaka nane mchezaji bora ni Messi na Ronaldo. Mkuu kwa hili wala sio la kuongea, hii tunajua kumejaa upendeleo kwenye ichi kinya'nganyiro na fitina tupu, Kumbuka Ronaldo kaanzia kushine Uingereza, La liga kama kawaida mtu akitoka uingereza akija huko kaja kushine kuliko. Ntajie mchezaji alotoka La liga akaja EPL akachukua mchezaji bora wa dunia.
Hujiulizi kwanini Investment nyingi EPL kuliko La liga? watu wanafuata kilicho bora, Kumbuka barca alikuwa hana mdhamini kwenye jezi yake na ilikuwa inashiriki ligi kuu.
Mtizame Guardiola, Msela Spain alitamba sana, na ndo aloipaisha barca, kila timu kubwa ikamdokolea macho inamtaka, kuja Uiengereza tu, Guardiola sasa anaonekana kumbe kocha wa kawaida. EPL ni kitu chengine mkuu. Burudani tupu.
Popote ulipo agiza soda mkuu nitakulipiaArsenal club kubwa, chama langu kipenzi.
Katika timu zote why inaongelewa Arsenal peke yake?
Attention kubwa ni kuona Arsenal atapangiwa nani katika hatua ya mtoano. (Na hii ni kila mwaka)
Yeyote tutakayepangiwa kukutana na sisi ana bahati mbaya.
Mwaka huu tumeamua,kikombe kikubwa ni lazima.
COYG [emoji123] [emoji379]
Unasikitisha, hao Sevilla Europa league hua wanakutana na hao hao wa epl bado wana kalishwa, kaaujue hata kwenye wajuaji kuna wajuzi zaid so Madrid na Barça ku dominate league cio kigezo kua league mbovu. Utd ambao ni giant EPL akienda Europa league tu kamasi zina mtoka akikutana na Athletic Bilbao, lkn mlete TOT kwa ATM uone kitakacho mkuta>>> Champions League Kuchukuliwa na R. madrid mara nyingi haimaniishi kuwa eti La liga ndio the best! Fo real? In that case Seria A is best then EPL? because AC Milan is a five time winner!
>>> Mechi Kali duniani ni derby ya Madrid na Barcelona? Barcelona ni timu ilo rise juzi tu, na kufanywa kuwa ni mechi bora ni on purpose, makusudi inafanywa ionekane ivo by giving it too much attention. Mechi nyengine ya kusisimua La liga ni ipi? Madrid na Atletico? Barca na Atletico? Derby ya La liga ni kama bidhaa za oriflame, GNLD, ndo zinazotumika sana na kujitangaza sana, wakati za EPL ni kama shampoo ya HEAD and Shoulder, husikii mtu akikwambia njoo ujiunge utengeze milioni, lakini ni bidhaa bomba... Derby ya La liga ni Messi na Ronaldo. Lakini derby za EPL Ni team kwa Team sio single player. Ligi yenu full of hype.
>>> Mwaka wa tatu Sevilla bingwa wa Europa, Okey sawa, but that doesnt make Sevilla the best team in Europe. When wa the last time they won the La Liga? Unajua kwanini La liga haina Mvuto zaidi ya mechi ya Barca na Madrid na Atletico na Madrid? The league is only dominated by 2, Barca na R.Madrid, Atletico nae kashtuka juz tu. The race for la liga ni for 2 only, in EPL, the unexpected happens, Hii ndio raha ya soka. Uingereza kuna Arsenal, Chelsea, Tottenham, Man city, Man utd, Liverpool, wote wanang'ang'ania ligi.
>>> Miaka nane mchezaji bora ni Messi na Ronaldo. Mkuu kwa hili wala sio la kuongea, hii tunajua kumejaa upendeleo kwenye ichi kinya'nganyiro na fitina tupu, Kumbuka Ronaldo kaanzia kushine Uingereza, La liga kama kawaida mtu akitoka uingereza akija huko kaja kushine kuliko. Ntajie mchezaji alotoka La liga akaja EPL akachukua mchezaji bora wa dunia.
Hujiulizi kwanini Investment nyingi EPL kuliko La liga? watu wanafuata kilicho bora, Kumbuka barca alikuwa hana mdhamini kwenye jezi yake na ilikuwa inashiriki ligi kuu.
Mtizame Guardiola, Msela Spain alitamba sana, na ndo aloipaisha barca, kila timu kubwa ikamdokolea macho inamtaka, kuja Uiengereza tu, Guardiola sasa anaonekana kumbe kocha wa kawaida. EPL ni kitu chengine mkuu. Burudani tupu.
S class ni s class maybach ni may bachBahati mbaya sikuwa na maybach...nilikuwa na ordinary s class niliemuuzia akai upgrade to maybach why not buying it back?
Hata eufa yenyewe miaka mitatu ya mwisho imechukukiwa na Real Madrid, Barcelona then Real MadridTuende na takwimu tusikariri. Ligi ya hispania ni bora zaid dunian kwa sababu
»champions league league imechukuliwa zaid na Real Madrid ya hispania.
»Mechi kali ya deby kal ya vilabu dunian ni ya Barca vs madrid
»Zaid ya mwaka wa tatu sasa kombe la europa linachukuliwa na sevilla kutoka hispania.
»Ndani ya misimu mitatu ya champions league misimu miwil fainal zmekutana timu za hispania tu.
»zaid ya msimu wa nne sasa timu ya hispania lazima icheze fainal ya champions league
»ni miaka nane sasa tuzo ya mchezaj bora wa dunia wanapokezana Messi na Ronaldo wa la liga.
» list ya wachezaj bora dunian iliyompa Ronaldo tuzo ni kwamba kwenye rank yao top sita ni wa hispania then wengine wanafuata.
NB: epl inafuatiliwa na weng pia investment yao kubwa lakin ni lig ya kawaida
Mkuu ndo hapo nashangaa mtu anasema lig ya uingereza ni bora kisa Umaarufu..... sasa jiulze timu km Leicester city kombe gan wanaweza wakachukua mbele wababe hawa wa kiispania.Hata eufa yenyewe miaka mitatu ya mwisho imechukukiwa na Real Madrid, Barcelona then Real Madrid
Tubaki kwenye mpira tu ligi hio ingine hutaniweza.S class ni s class maybach ni may bach
tutamchapa tu. last time Bayern alibebwa na refa. na uzuri safari hii tunamalizia game kwetu
kamuulize guardiola Kati ya EPL na LA liga IPI ni league ngumuTuende na takwimu tusikariri. Ligi ya hispania ni bora zaid dunian kwa sababu
»champions league league imechukuliwa zaid na Real Madrid ya hispania.
»Mechi kali ya deby kal ya vilabu dunian ni ya Barca vs madrid
»Zaid ya mwaka wa tatu sasa kombe la europa linachukuliwa na sevilla kutoka hispania.
»Ndani ya misimu mitatu ya champions league misimu miwil fainal zmekutana timu za hispania tu.
»zaid ya msimu wa nne sasa timu ya hispania lazima icheze fainal ya champions league
»ni miaka nane sasa tuzo ya mchezaj bora wa dunia wanapokezana Messi na Ronaldo wa la liga.
» list ya wachezaj bora dunian iliyompa Ronaldo tuzo ni kwamba kwenye rank yao top sita ni wa hispania then wengine wanafuata.
NB: epl inafuatiliwa na weng pia investment yao kubwa lakin ni lig ya kawaida
Mm co kilaza km ww kila kitu umeshikiwa akil mpaka uambiwe na wengine. Wasomi huwa tunafanya utafit ndio tunakuja na takwimu. LETE TAKWIMU CO MPAKA KILA KITU UAMBIWE WW PURU WA KUTUPWAkamuulize guardiola Kati ya EPL na LA liga IPI ni league ngumu
Mapenzi yanawafanya watu wasifikirie ukweliMkuu ndo hapo nashangaa mtu anasema lig ya uingereza ni bora kisa Umaarufu..... sasa jiulze timu km Leicester city kombe gan wanaweza wakachukua mbele wababe hawa wa kiispania.
Mtu anasema laliga timu nyngne ni mbovu wakat Atletico wanaingia fainal mara mbil champions league ndan ya miaka mitatu.
Tunamwona sevilla anachukua europa mara tatu mfululizo tena hii ya mara ta tatu akiwabutua waingereza liverpool.
MKUU WAO WATAKUAMBIA LIG YA EPL CJUI INA USHNDAN MARA GUADIOLA UINGEREZA ANAFUNGWA. SABAB ZA KITOTO KABISA
Pia katika miaka 10 ya mwisho yaani 2006-2016, Barcelona wamechukua mara nne Madrid nadhani 2 ukijumkisha ni misimu sita then the rest wanagawana wengine hukoMkuu ndo hapo nashangaa mtu anasema lig ya uingereza ni bora kisa Umaarufu..... sasa jiulze timu km Leicester city kombe gan wanaweza wakachukua mbele wababe hawa wa kiispania.
Mtu anasema laliga timu nyngne ni mbovu wakat Atletico wanaingia fainal mara mbil champions league ndan ya miaka mitatu.
Tunamwona sevilla anachukua europa mara tatu mfululizo tena hii ya mara ta tatu akiwabutua waingereza liverpool.
MKUU WAO WATAKUAMBIA LIG YA EPL CJUI INA USHNDAN MARA GUADIOLA UINGEREZA ANAFUNGWA. SABAB ZA KITOTO KABISA
Mkuu ndo hapo nashangaa mtu anasema lig ya uingereza ni bora kisa Umaarufu..... sasa jiulze timu km Leicester city kombe gan wanaweza wakachukua mbele wababe hawa wa kiispania.
Mtu anasema laliga timu nyngne ni mbovu wakat Atletico wanaingia fainal mara mbil champions league ndan ya miaka mitatu.
Tunamwona sevilla anachukua europa mara tatu mfululizo tena hii ya mara ta tatu akiwabutua waingereza liverpool.
MKUU WAO WATAKUAMBIA LIG YA EPL CJUI INA USHNDAN MARA GUADIOLA UINGEREZA ANAFUNGWA. SABAB ZA KITOTO KABISA
Hapo ndo nashangaa, kwa mfano kigezo kikubwa ambacho wanadai eti lig ya uingeleza ni bora kwa sababu bingwa hatabirik yoyote anaweza akachukua ubingwa kwa hyo hii ni nzur coz ubingwa unapatikana kwa upinzan. MAWAZO HAYA NI YA KIWANGO CHA CHEKECHEAPia katika miaka 10 ya mwisho yaani 2006-2016, Barcelona wamechukua mara nne Madrid nadhani 2 ukijumkisha ni misimu sita then the rest wanagawana wengine huko
Mkuu ac milan ni 7 times winner na sio 5 times kama ulivyoandika juu>>> Champions League Kuchukuliwa na R. madrid mara nyingi haimaniishi kuwa eti La liga ndio the best! Fo real? In that case Seria A is best then EPL? because AC Milan is a five time winner!