UEFA CHAMPIONS LEAGUE: Real Madrid yaingia fainali Uefa, Man City yapigika 3-1

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: Real Madrid yaingia fainali Uefa, Man City yapigika 3-1

Yaani pep aombe msamaha kwa waafrica ili achukue uefa ,?

Hawezi fanya huo ujinga mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We kenge wa bluu una raha gani haswa hadi uje utufokee humu sisi Real Madrid fans? Pita kushoto uendelee kuugulia maumivu taratiiibu ya kichapo cha jana cha mmbwa koko toka kwa Real Madrid [emoji1787]
 
Kama hatoomba mtaendelea kugongwa kwenye UEFA MPAKA AKILI ZIWAKAE SAWA
Akili ziwakae sawa kwani pep atafia city au akili hauna ,hakuna kuomba msamaha Wala Nini na uefa atabeba kama hutaki kwendraaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
We kenge wa bluu una raha gani haswa hadi uje utufokee humu sisi Real Madrid fans? Pita kushoto uendelee kuugulia maumivu taratiiibu ya kichapo cha jana cha mmbwa koko toka kwa Real Madrid [emoji1787]
Achana na Mimi kilaza wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]man city imetolewa dunia nzima inalialia

The big club ina the world
 
Nakazia hata Samuel Eto'o pia, kuna kipindi kabla ya Messi kuanza kung'aa pale Camp Nou, ikiwa Pep alitoka kuichukua Barcelona chini ya Kocha Rijkaard, alimbagua sana Eto'o kwa kumuweka benchi mara kwa mara asiendelee kucheza mpira maana kuna rekodi nzuri sana ya mchezaji bora wa Barcelona ilikuwa inaenda kuvunjwa na Samuel Eto'o.
Acheni hizo,mbona Pep mwenyewe ni chotara
 
Nakazia hata Samuel Eto'o pia, kuna kipindi kabla ya Messi kuanza kung'aa pale Camp Nou, ikiwa Pep alitoka kuichukua Barcelona chini ya Kocha Rijkaard, alimbagua sana Eto'o kwa kumuweka benchi mara kwa mara asiendelee kucheza mpira maana kuna rekodi nzuri sana ya mchezaji bora wa Barcelona ilikuwa inaenda kuvunjwa na Samuel Eto'o.

Punguzeni ujinga watu weusi
 
Mechi ingeishia dk 90 tuu, Madrid wangeenda Kwa away goal , walioweka away goal walikuwa magenius ....!!
 
Tokea mechi ya kwanza pale Etihad Madrid aliwaonyesha City kua timu yao sio ya kuchukiliwa poa, ndani ya dakika moja wanaweza kupindua meza na kuwageuza kichwa chini miguu juu.
Guardiola baada ya goli la Riyad Maherez akaona tayari ameshamaliza kazi na amefuzu kuingia final.
Binafsi nimefurahi Madrid kuingia final, nategemea kuona final yenye ushindani kwa Liverpool, tofauti na City ambae hua hampi shida sana Liverpool.
Nategemea kuona final iliyochangamka kama ile final ya Carabao cup kati ya Liverpool na Chelsea.
 
Back
Top Bottom