UEFA CHAMPIONS LEAGUE: Real Madrid yaingia fainali Uefa, Man City yapigika 3-1

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: Real Madrid yaingia fainali Uefa, Man City yapigika 3-1

Acheni hizo,mbona Pep mwenyewe ni chotara
Hilo Jamaa ni libaguzi sana tu, na hata ile inshu ya Raia wa Camp Nou walipotaka kujitenga kuwa nchi inayojitegemea kwa madai asilimia kubwa ya maendeleo ya uchumi wa Hispania yanatokana na rasilimali za madini yanayochimbwa Camp Nou na kuiingizia nchi fedha za kigeni lilisapoti huo upumbavu hadi FA ilimpiga faini kujihusisha na siasa ikiwa haruhusiwi kwa sheria za FA pale UK.
 
kuwa mzalendo kwa nchi yake nayo ni ubaguzi?
 
Mzuka wanajamvi,

Nilitoka kazini nimechoka kichiz ila mechi ya real na city nilipanga kuangalia. Mahrez alipofunga nikajua wazi citywanaendqa fainali. Nikaamua kulala. Sasa mda siyo mrefu nimeamka nikaamua kuangalia iliishaje. Sijawahi kushikwana mshtuko kama huu wanajamvi wenzangu. Kweli mpira dah Madrid maamae Jiiizaz

Erythrocyte makaveli10 Chaliifrancisco
That's football..

Rodrigyo tu alivyofunga goli la kwanza na refa akaongeza dk6,nilisema City ashatoka..na kweli ikatokea
 
Yaani pep aombe msamaha kwa waafrica ili achukue uefa ,?

Hawezi fanya huo ujinga mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waafrika na superstition ni shida sana, sasa siku Pep akitwaa hilo kombe mtasemaje.
 
Mechi ingeishia dk 90 tuu, Madrid wangeenda Kwa away goal , walioweka away goal walikuwa magenius ....!!
Sheria ya Goli la Ugenini ilishaondolewa/ilishafutwa.

Dakika 90 Real wangemaliza kwa kuongoza 1-0 wangeongezewa dakika 30, kwahiyo wangepiga dakika 120
 
Real Madrid imefanya maajabu, ni baada ya kupindua matokeo dakika za mwisho na kufanikiwa kuingia fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa kuiondoa Manchester City kwa jumla ya mabao 6-5.

Hadi dakika ya 90 Madrid ilikuwa nyuma kwa bao 1-0 katika nusu fainali ya pili, dakika ya 90 na 91 ilipata mabao mawili kupitia kwa Rodrygo na kufanya matokeo ya jumla kuwa 5-5. Katika dakika 30 za nyongeza, Kareem Benzema akafunga bao na kufanya matokeo kuwa 3-1.

Fainali inatarajiwa kuchezwa Mei 28, 2022. Real Madrid ambayo imebeba kombe hilo mara 13 itaivaa Liverpool ambayo imebeba kombe mara 6.
Tuliwaambia Madrid ikinusa UCL huwezi amini inachokifanya
 
Hiyo sheria ya 'away goal' imeshafutwa.
Najua ndo mana nikasema Bora ingebakishwa , timu inayopata magori mengi ugenini always ni the best Kwa 75 % , ingelikuwepo kulikuwa hamna haja ya kuwachosha wachezaji Kwa dk zingine 30....Madrid ameprove hlo kuanzia game ya Chelsea to city....waliopanga hyo Sheria walikuwa magenius
 
Sheria ya Goli la Ugenini ilishaondolewa/ilishafutwa.

Dakika 90 Real wangemaliza kwa kuongoza 1-0 wangeongezewa dakika 30, kwahiyo wangepiga dakika 120
Sjakuelewa , kuhusu away goal najua ilishafutwa Ila kulikuwa hakuna haja ya kuifuta
 
Back
Top Bottom