HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,563
- 48,223
Etihad, Manchester City walishinda 4-3, sheria ya Goli la Ugenini kwasababu ilishafutwa hata Real Madrid wangeshinda Goli moja kwa sifuri Santiago Bernabeu kwa mfano, wangeenda Extra time tofauti na kabla ya sheria kufutwa, Ushindi wa Goli moja kwa sifuri Santiago Bernabeu ungewapeleka Real Madrid fainali moja kwa mojaSjakuelewa , kuhusu away goal najua ilishafutwa Ila kulikuwa hakuna haja ya kuifuta