Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
We kenge wa bluu una raha gani haswa hadi uje utufokee humu sisi Real Madrid fans? Pita kushoto uendelee kuugulia maumivu taratiiibu ya kichapo cha jana cha mmbwa koko toka kwa Real Madrid [emoji1787]Yaani pep aombe msamaha kwa waafrica ili achukue uefa ,?
Hawezi fanya huo ujinga mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akili ziwakae sawa kwani pep atafia city au akili hauna ,hakuna kuomba msamaha Wala Nini na uefa atabeba kama hutaki kwendraaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kama hatoomba mtaendelea kugongwa kwenye UEFA MPAKA AKILI ZIWAKAE SAWA
Achana na Mimi kilaza wewe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]man city imetolewa dunia nzima inalialiaWe kenge wa bluu una raha gani haswa hadi uje utufokee humu sisi Real Madrid fans? Pita kushoto uendelee kuugulia maumivu taratiiibu ya kichapo cha jana cha mmbwa koko toka kwa Real Madrid [emoji1787]
Man city anachokosa ni uzoefu tu.Hakuna laana Wala nini.Kama hatoomba mtaendelea kugongwa kwenye UEFA MPAKA AKILI ZIWAKAE SAWA
Acheni hizo,mbona Pep mwenyewe ni chotaraNakazia hata Samuel Eto'o pia, kuna kipindi kabla ya Messi kuanza kung'aa pale Camp Nou, ikiwa Pep alitoka kuichukua Barcelona chini ya Kocha Rijkaard, alimbagua sana Eto'o kwa kumuweka benchi mara kwa mara asiendelee kucheza mpira maana kuna rekodi nzuri sana ya mchezaji bora wa Barcelona ilikuwa inaenda kuvunjwa na Samuel Eto'o.
Laana ya Yahya Toure itaendelea kumtafuna Pep hadi atakapoomba msamaha kwa waafrica weusi kwa ubaguzi zidi yao,hatachukua Uefa tena.
Ubaguz was rangi kauamishia kwa Sterling, Dogo kapotezwa mno na benchi
Nakazia hata Samuel Eto'o pia, kuna kipindi kabla ya Messi kuanza kung'aa pale Camp Nou, ikiwa Pep alitoka kuichukua Barcelona chini ya Kocha Rijkaard, alimbagua sana Eto'o kwa kumuweka benchi mara kwa mara asiendelee kucheza mpira maana kuna rekodi nzuri sana ya mchezaji bora wa Barcelona ilikuwa inaenda kuvunjwa na Samuel Eto'o.
Nlipo ona "Kwendraaa" nmepata picha wewe ni mtu wa aina ganiAkili ziwakae sawa kwani pep atafia city au akili hauna ,hakuna kuomba msamaha Wala Nini na uefa atabeba kama hutaki kwendraaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kam Ni kweli ajitafakari San laana ya waafrica siyo kdgLaana ya Yahya Toure itaendelea kumtafuna Pep hadi atakapoomba msamaha kwa waafrica weusi kwa ubaguzi zidi yao,hatachukua Uefa tena.
Ulaya hakunaga goal la away nawew UEFA walishatoagaMechi ingeishia dk 90 tuu, Madrid wangeenda Kwa away goal , walioweka away goal walikuwa magenius ....!!
nini kilitokeaLaana ya Yahya Toure itaendelea kumtafuna Pep hadi atakapoomba msamaha kwa waafrica weusi kwa ubaguzi zidi yao,hatachukua Uefa tena.