UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

Bayern vs Juve
Barcelona vs Leicester
Madrid vs Monaco
Atletico Madrid vs BVB

Mm nimeona hv.
Subiri muone
 
UTABIRI WANGU

*Leicester vs Bayern Muchen

*Juventus vs Barcelona

*Real Madrid vs Atletico

*Monaco vs Dortmund
 
Utapocheza na team yenye highly talented and professional players kama Barc ukifungwa utahisi wanapendelewa! ktk mpira kila nafasi utafutwa! Penalt haiji tu ni lazima kuitafuta na ndo maana watu wanatrain kutafuta penalt!!!
 
Utahangaika sana,unafikiri Leicester ni ya mchezo mchezo ,imefikaje hapo? Wewe utakuwa tim mikia,kulia lia tuui
 
😀😀😀 kwa hiyo Real madrid huwa anapendelewa sio?????????
kama Atletico Madrid alikuwa anamtoa Barca halafu anafungwa na Madrid utasemaje hapooo???
Mkuu achana nalo hilo lijamaa la matipeni,timu lia lia tuuu
 
Bayern vs Juve
Barcelona vs Leicester
Madrid vs Monaco
Atletico Madrid vs BVB

Mm nimeona hv.
Subiri muone
Huu utakuwa moto wa kuotea mbali ikitokea wamepanga hivi.
 
Timu 2 za Spain lazima lazima zikutane
Atletico vs Real
Real vs Barcelona
Barcelona vs Atletico
Lazima
 
Nasikia refa aliyechezesha BARCERONA VS PSG kufukuzwa kazi?
 
Leo ndio leo ni draw ya kombe la mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali.

TUMU ZILIZOFAULU KUINGIA HATUA YA ROBO FAINAL UEFA NI
-FC BARCELONA
-ATLETICO MADRID
-REAL MADRID
-FC BAYERN MUNCHEN
-DORTMUND
-JUVENTUS
-MONACO
-LEICESTER

Draw itafanyika majira ya saa 8 mchana e.a.t

Huku dondoo zikionesha timu pendwa na UEFA au timu mlungula Real Madrid kubebwa kwa kupewa Leicester ambao ndio timu dhaifu kutokana na kufanya vibaya msimu huu.

Kuhusu Barcelona wao wanataka kupangiwa na timu mbili kati ya mahasimu zao R. Madrid au Bayern ili kulipiza kisasi kwa Arsenal ila la kusikitisha timu hizo zote hazitaki kukutana na FC Barcelona haswa R. Madrid

Na ile kauli ya Blatter kuwa kuna vimpira vyenye joto kwenye draw za UEFA naona inatimia tena

Tukitoka huko macho na masikio yote ya wapenda michezo Tanzania yapo kwa mchezaji wetu anayetuwakilisha vizuri nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta aliyeisaidia timu yake kuingia hatua ya robo fainali tukitaka kujua atapangiwa na timu gani maoni yangu ni heri akutane na Manchester United ili awaoneshe kuwa Tanzania tunaweza.
Hii meza na maji mengi SAMATTA VS MANU
 
leicester vs atletico
bayern vs Real madrid
barcelona vs juventus
monaco vs dortmund
 
leicester vs atletico
bayern vs Real madrid
barcelona vs juventus
monaco vs dortmund
 
Back
Top Bottom