Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu achana nalo hilo lijamaa la matipeni,timu lia lia tuuu😀😀😀 kwa hiyo Real madrid huwa anapendelewa sio?????????
kama Atletico Madrid alikuwa anamtoa Barca halafu anafungwa na Madrid utasemaje hapooo???
Huu utakuwa moto wa kuotea mbali ikitokea wamepanga hivi.Bayern vs Juve
Barcelona vs Leicester
Madrid vs Monaco
Atletico Madrid vs BVB
Mm nimeona hv.
Subiri muone
Kumbuka pale yupo Zidane legendary huyu ni mtu wa maajabu siku zote a magic man hatari mkuu.Barca atapita hapo mkuu huwa wapo 12 uwanjani
Hawezi chukua UEFA, kwa kiwango kipi hasa alichonacho?Barca mwisho wao ndo umefika, Leicester ndo mabingwa wapya.
Hii meza na maji mengi SAMATTA VS MANULeo ndio leo ni draw ya kombe la mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali.
TUMU ZILIZOFAULU KUINGIA HATUA YA ROBO FAINAL UEFA NI
-FC BARCELONA
-ATLETICO MADRID
-REAL MADRID
-FC BAYERN MUNCHEN
-DORTMUND
-JUVENTUS
-MONACO
-LEICESTER
Draw itafanyika majira ya saa 8 mchana e.a.t
Huku dondoo zikionesha timu pendwa na UEFA au timu mlungula Real Madrid kubebwa kwa kupewa Leicester ambao ndio timu dhaifu kutokana na kufanya vibaya msimu huu.
Kuhusu Barcelona wao wanataka kupangiwa na timu mbili kati ya mahasimu zao R. Madrid au Bayern ili kulipiza kisasi kwa Arsenal ila la kusikitisha timu hizo zote hazitaki kukutana na FC Barcelona haswa R. Madrid
Na ile kauli ya Blatter kuwa kuna vimpira vyenye joto kwenye draw za UEFA naona inatimia tena
Tukitoka huko macho na masikio yote ya wapenda michezo Tanzania yapo kwa mchezaji wetu anayetuwakilisha vizuri nchini Ubelgiji, Mbwana Samatta aliyeisaidia timu yake kuingia hatua ya robo fainali tukitaka kujua atapangiwa na timu gani maoni yangu ni heri akutane na Manchester United ili awaoneshe kuwa Tanzania tunaweza.
Kwanini hutaki ipangiwe na real Madrid Mkuu ??Hamna timu naichukia kama barca....nataman wapangwe na bayern au atletico ili safari yao iishie hapo!!