Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
Bingwa Dortmund au Juventus.....tukutane June 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyakati hazifanani.Hiyo Chelsea iko wapi sasa?
Chagua moja Mkuu,Bingwa Dortmund au Juventus.....tukutane June 3
Daah.....mkuu I'll go for Dotmund...Chagua moja Mkuu,
Bingwa Fc Bayern Munchen.
Mkuu unatabiri marudio ya 1997 final.Ila mie namuwaza sana Ancelotti.Yule mzee nuksi.Ngoja tuone.Bingwa Dortmund au Juventus.....tukutane June 3
Nakubaliana na wewe kabisa, nadhani sasa ndio mwisho wa utawala wa timu za laliga maanake tumechokaa.Bingwa Dortmund au Juventus.....tukutane June 3
Kumbe mnaongea kwa hisia za kuchoka na si uhalisia wenyewe wa mpiraNakubaliana na wewe kabisa, nadhani sasa ndio mwisho wa utawala wa timu za laliga maanake tumechokaa.
Cc barca tuna bahati na safar kuelekea Cardiff km naiona ka VP we jinyonge tu [emoji460]Hamna timu naichukia kama barca....nataman wapangwe na bayern au atletico ili safari yao iishie hapo!!
Wengi humu wanaichukia Barcelona kutokana na mafanikio waliyo yapata katika miaka 12 ya hivi karibuni, kwani wamechukua laliga 8, copa de ley 4 na UEFA 4!!!
Hii ndio sababu kubwa kwa wengi huku wakiona timu zao zimekuwa zikibolonga vibaya sana
Ukiachana na sisi mashabiki wa Arsenal tunavyopata mateso kwenye soka ila kusema ukweli huwa nawahurumia sana watu wanaoichukia barca
Hovyooo!Hamna timu naichukia kama barca....nataman wapangwe na bayern au atletico ili safari yao iishie hapo!!
Usiifananishe EPL na UEFA, Barca atolewe na hiyo takataka yenu ambayo ilisumbua huko EPL? Thubutuuuu, hata kwa Juventus hachomoki huyu bingwa wenu wa EPL.Barca mwisho wao ndo umefika, Leicester ndo mabingwa wapya.
Msimu uliopita Real kapewa sana vibonde mpaka anaingia fainal, awamu hii wamempa Mjerumani. Mapema tu anavua ubingwa.Real anapewa Monaco