UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

UEFA Champions League & UEFA Europa League draw

sipati picha angepangwa Leicester na barca! wabaya wa barca mngesema kuna mbeleko imepita hapo
 
Barcelona completed one of the greatest comebacks in football history as Paris Saint-Germain choked on an incredible night at Camp Nou
 
Ukiachana na sisi mashabiki wa Arsenal tunavyopata mateso kwenye soka ila kusema ukweli huwa nawahurumia sana watu wanaoichukia barca
 
Gent wameitoa spurs ya dele Ali na hary kane top scorer wa epl ila wametolewa na Genk tena kwa aggregate ya 2-6, atletico Bilbao yupo juu ya celta Vigo kwenye msimamo wa laliga ila kwenye makundi Europa Genk waliongoza kundi na kuwaacha bilbao. Tuache kuidharau Genk kisa kuna mtz anacheza. Kufuzu robo kwenyewe ni hatua. Hakuna kibonde ktk hatua hii. Genk wanaingia nusu fainali
 
Nakubaliana na wewe kabisa, nadhani sasa ndio mwisho wa utawala wa timu za laliga maanake tumechokaa.
Kumbe mnaongea kwa hisia za kuchoka na si uhalisia wenyewe wa mpira
 
Wengi humu wanaichukia Barcelona kutokana na mafanikio waliyo yapata katika miaka 12 ya hivi karibuni, kwani wamechukua laliga 8, copa de ley 4 na UEFA 4!!!
Hii ndio sababu kubwa kwa wengi huku wakiona timu zao zimekuwa zikibolonga vibaya sana

Yeah absolutely kamanda. Na Alivyotua tu Maestro jugadas La pulga pale nou camp mambo yakaharibika kwa timu pinzani.... Barca ikaanza kusafishika kweli kweli na kuipatia mafanikio makubwa kuwahi kutokea na mataji yakutosha... king messi Asante sana baba, siku unastaafu tutakumis aise,
 
Juve pia naipenda sana ila mtanisamehe kwakweli....naitakia tim yangu pendwa na kongwe na ndiyo nayoitegemea itafanya wonders. Si ingine ni Barcelonistas the big club in the world...

Barca 2-1 Juve

King atapiga 2

Kwa juve naamini hawa watatu watafanya makubwa Bruno dybala,Mario mandzukic na Higuain, lakin mwisho wa yote wataishia kutolewa na wababe....alaf huyu dogo dybala ni mtamu sana, tunamtaka kwa hali na mali atue nou camp
 
Ukiachana na sisi mashabiki wa Arsenal tunavyopata mateso kwenye soka ila kusema ukweli huwa nawahurumia sana watu wanaoichukia barca

Alaf kamanda wangu wanaoichukia Barca wanajitafutia anxiety disorders, timu ka barca unaichukia kwanini/why? mi nadhani kitu kingine cha ziada kinachosababisha ichukiwe timu ni uwepo wa mchawi pale. Maaana yeye ndiyo (MAFANIKIO) kaishika tim kiganjani na ndiyo yeye kaipatia mafanikio tim na kupata uchezaji bora duniani mara nyingi kuliko player yeyote yule, sasa hiki kitu may be kinawaumiza sana tu baadhi ya Mashabiki kote duniani
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Barca mwisho wao ndo umefika, Leicester ndo mabingwa wapya.
Usiifananishe EPL na UEFA, Barca atolewe na hiyo takataka yenu ambayo ilisumbua huko EPL? Thubutuuuu, hata kwa Juventus hachomoki huyu bingwa wenu wa EPL.
 
Back
Top Bottom