Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
- Thread starter
- #181
Kroos alipiga pasi Mkaa kwenda kwa Kimmich, naye bila hiyana akamtengenezea Wirtz, nje ya goli anakung'uta
Chumaa
Chumaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kroos alipiga pasi Mkaa kwenda kwa Kimmich, naye bila hiyana akamtengenezea Wirtz, nje ya goli anakung'uta
Chumaa
Ni hatari sana huyu mwamba, Timing yake anavyo passes mpira Dah.Toni kaipa nguvu sana ujerumani katika ya uwanja yeye ndio ka contol Base yote ya timu anamau timu icheze vipi
Urejeo wa Toni umewaongezea kituGerman imebadilika sana...wanakaba, wanapiga pass...wako vizuri
Binadamu unamlipua na kombora la kifaruJamal Musiala kwa hili shuti anafanya ile kitu inaitwa “Uhalifu dhidi ya Binadamu”
uyo apana nimeshanga sana kuona anataka kustafu na Mpira wote uwo ambao Bado upo mguuniNi hatari sana huyu mwamba, Timing yake anavyo passes mpira Dah.