UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Jukwaa la VIP kuna watu mashuhuri haswa
IMG_1804.jpeg
 
Scotland wamepoteana kabisa,
Game plan yao imefelishwa na ubora wa wajerumani kwa mchezj mmoja mmoja
 
Uyu Turpin akichezesha michuano ya ulaya anachezesha vzur Sana

Kule france Ni refa wa ovyo Sana

Sijajua shida maslahi au vipi
 
Back
Top Bottom