Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tanua mikono kama basketball waweke tuta.Hii kukaba mikono nyuma ndani ya boksi naona kama wachezaji wanakosa balance hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanua mikono kama basketball waweke tuta.Hii kukaba mikono nyuma ndani ya boksi naona kama wachezaji wanakosa balance hivi
Warudi tuu kama zamani kuangalia kama ni makusudi mtu kafanya au mpira umefuata mkonoTanua mikono kama basketball waweke tuta.
Hand to ball vs Ball to handWarudi tuu kama zamani kuangalia kama ni makusudi mtu kafanya au mpira umefuata mkono
Maana inakuwa advantage kwa anaye shambulia balance inakuwa upande wake
Hata sijajua nataman kumuona tena uwanjani maan anaujua sanaDogo sjui atarudi lini yule
Yote inakuwa mtu kashika ila intention ilikuwa nn ndio iangaliweHand to ball vs Ball to hand
Hii tournament imekuwa na owngoal nyingi sanaSiku hizi ni mwendo wa watu kujifunga tu..
Wapo serious kuliko unavyofkiriaSema Italy hawapo serious kabisa