Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sometimes hata aina ya wafungaji wa timu pinzani wanaweza kumfanya keeper akaonesha kiwango kizuri mpaka mkashangaa.... mimi naamini leo kama Italy wangekuwa wanacheza na timu yenye watu wanaojua kufunga hasa wanaojua kuzitumia nafasi za one-on-one, basi Italy angekufa nyingi sana na Donarumma asingetuonesha hiki kiwango, Spain haina washambuliaji wanaolijua goli na hili tatizo lao la miaka yote. Wewe shot on targets 9 zote na bado wameshindwa kuweka hata moja mpaka wapinzani wajifunge.Bonge la kipa..
Hahaha dah usinikumbushe ile world cup walimsajili na yule Mbrazil alafu ikawa holaa na kutoka round za awali kabisaaSometimes hata aina ya wafungaji wa timu pinzani wanaweza kumfanya keeper akaonesha kiwango kizuri mpaka mkashangaa.... mimi naamini leo kama Italy wangekuwa wanacheza na timu yenye watu wanaojua kufunga hasa wanaojua kuzitumia nafasi za one-on-one, basi Italy angekufa nyingi sana na Donarumma asingetuonesha hiki kiwango, Spain haina washambuliaji wanaolijua goli na hili tatizo lao la miaka yote. Wewe shot on targets 9 zote na bado wameshindwa kuweka hata moja mpaka wapinzani wajifunge.
Kwani Dr. Ricky Abdallah ashavuta?Mzee alikuwa bonge la mshereheshaji
Naskia chanzo cha kifo chake ni kamari alikuwa anacheza sana kamari kwenye
Huyu mspain anajua sanaNico Williams bonge la mchezaji kutokea Ghana
huyo ndo mad max aka furry roadVipi mkeka wako?
Wasije wakawa wanabet hawa wapuuziHii tournament imekuwa na owngoal nyingi sana
Ndio timu peke ilioonyesha kuwa ina uwezo wa kushinda hii tournamentHuyu mspain anajua sana
Italy anashindaga makombe pale ambapo nyumbani kwao kunakuwa na majanga, 2006 walishinda worldcup baada ya scandal ya upangaji matokeo.Italy walikua wanaulizwa kama wanajua mpira au wamekujakuja ila timu yangu nayo mmmmhhh ikikutana na wauma meno wazuri majanga tu
Mie naona ni upuuzi kwa kweli wewe defend vizuri tuu...mikono ikiwa nyuma kupinduliwa ni rahisi sanaHii kukaba mikono nyuma ndani ya boksi naona kama wachezaji wanakosa balance hivi