UEFA EURO 2024: Special Thread | Final: FT: Spain 2-1 England (Spain aibuka bingwa)

Bonge la kipa..
Sometimes hata aina ya wafungaji wa timu pinzani wanaweza kumfanya keeper akaonesha kiwango kizuri mpaka mkashangaa.... mimi naamini leo kama Italy wangekuwa wanacheza na timu yenye watu wanaojua kufunga hasa wanaojua kuzitumia nafasi za one-on-one, basi Italy angekufa nyingi sana na Donarumma asingetuonesha hiki kiwango, Spain haina washambuliaji wanaolijua goli na hili tatizo lao la miaka yote. Wewe shot on targets 9 zote na bado wameshindwa kuweka hata moja mpaka wapinzani wajifunge.
 
Hahaha dah usinikumbushe ile world cup walimsajili na yule Mbrazil alafu ikawa holaa na kutoka round za awali kabisaa
 
Italy walikua wanaulizwa kama wanajua mpira au wamekujakuja ila timu yangu nayo mmmmhhh ikikutana na wauma meno wazuri majanga tu
Italy anashindaga makombe pale ambapo nyumbani kwao kunakuwa na majanga, 2006 walishinda worldcup baada ya scandal ya upangaji matokeo.
2020 euro walishinda baada ya corona kuwapukutisha huko kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…